Watani wetu hao
Mbona uganda pia anafanye vizuri gold moja na siliver mbili, sisi ndo tumelala duhMpaka sasa Kenya wameshavuna medali nne za dhahabu katika michezo ya Olympics ya Paris na hivyo kutuwakilisha vizuri Jumuiya ya Africa Mashariki, hata hivyo tuwakanye wasituringie sana majirani zao kwani sote ni wamoja, mafanikio yao ni mafanikio yetu pia.
View attachment 3066583
Tuna kosea wapi lakini?Tanzania hawafanyagi maandalizi
Olympics wanaenda tu kama kutembea tu!
Ova
Akili yote iko kwenye simba yanga, kukata mauno,udaku,watu wanaongea sana,kuchekesha basiTuna kosea wapi lakini?
Kizimkazi yuko busy kununua magoli.Mbona uganda pia anafanye vizuri gold moja na siliver mbili, sisi ndo tumelala duh