Kenya: Wanaume waandaa mgomo

Speaker

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2010
Posts
6,324
Reaction score
2,240
WANAUME nchini KENYA leo wanaanza mgomo wa siku sita wa KUTO KULA NYUMBANI kupinga vitendo vya KUPIGWA na wake zao.

Huh,hivi hawa ni wanaume kweli au mashoga?
Au ndo wale wanao tunzwa na majimama?
Au ndo wale walo olewa wanakaa nyumbani kusubiria
mke alete kila kitu?

Wakenya mna tuaibisha.........

Hao ni wanaume rijali.

Usifanye mchezo na wanawake wa kenya ni soo...anakupa kichapo na anakulazimisha um "do"
Na ngoma ikikataa ku abase! itakuwaje! na kichapo ndio ushakula?

Note: ABASE= KUINUKA hii lugha inatumika bandarini
 
Ukisikia wanaume kama mabinti ndo hao..mimi mke wangu hata awe baunsa vipi..anachezea kichapo tu hapa...na gemu ananipa..
 
Hata hapa Bongo wanaume kibao wanachezea kichapo lakini hawasemi...

Kuna jamaa yangu mchaga kaona mama wa kikurya anamgawia kichapo cha haja. Hata gari ya familia anaendesha mama baba ni abiria tu. Mangi akichezea kichapo kikali anasingizia anaumwa kazini hatokei. Anajifariji tu kwa kugonga makonyagi...

Huo mgomo usiwe wa kula chakula tu, wagomee hadi KULA VITU uone kama hao wamama wataendelea na ukorofi.
 
Ukisikia wanaume kama mabinti ndo hao..mimi mke wangu hata awe baunsa vipi..anachezea kichapo tu hapa...na gemu ananipa..
Hamna kitu hiyo, Kupigwa na mkeo raha asikwambie mtu! mtafute Bishanga akupe kozi!
 
Hivi huwa wanapigana au wanaume wanapigwa?mbona hiyo sooo,bac hapo suala la haki sawa kwa kila mwananchi ni ndoto na hakitatekelezeka kamwe
 
wanawake tukiwezeshwa tunaweza.
wanaume kenya wanachezea vipondo daily wapo hps kila siku
wanachezea vipondo vya mbwa mwizi kila siku

wanawake wamewaambia na atakaegoma atalala mochwari siku iyo
nasikia wengi hawali mjini kwa hofu mida ya lunch wanaenda kula kwa wake zao kwa hofu
 
Kuna mwanaume bongo atayehadithia kuwa anashushiwa kipondo na mkewe??!! ha ha ha
 
Hao ni wanaume rijali.

Usifanye mchezo na wanawake wa kenya ni soo...anakupa kichapo na anakulazimisha um "do"

Tuseme wanaume wa kenya ni magoi goi au?
Kweli duniani kuna mengi.
 
Na ngoma ikikataa ku abase! itakuwaje! na kichapo ndio ushakula?

Note: ABASE= KUINUKA hii lugha inatumika bandarini

Haha,na ole wako agundue umekula madawa ili ufanye kazi.
Sioi mkenya aiseee.
 
Ukisikia wanaume kama mabinti ndo hao..mimi mke wangu hata awe baunsa vipi..anachezea kichapo tu hapa...na gemu ananipa..

Wanawake wa kitanzania wengi wana heshima.
Utakuta bonge ya mmama kaolewa na kamtu kama njiti lakini
wanaishi bila kugombana,....sasa huyu angekua kenya akimuweka mme
wake katikati ya mikono tu na kubinya anavunja mbavu.
 
Hii yako imekaa kama hadithi njoo uongo njoo hivi.
wanawake wa kikurya sio kama wanaume wa kikurya.
Wanawake ni watii na wenye heshima sana kwa waume zao.
 
Hivi huwa wanapigana au wanaume wanapigwa?mbona hiyo sooo,bac hapo suala la haki sawa kwa kila mwananchi ni ndoto na hakitatekelezeka kamwe

Eti wanadai wanawake wa kenya wana kiburi cha kuwapiga kwa sababu
serikali ime wawezesha kifedha,so wanakuwa matajiri kuwazidi waume zao.

In return,wanaume nchini humo wanatarajia kuanza mgomo wa kula makwao ikiwa
ni pamoja na kuomba "wawezeshwe pia".............

Damn,no wonder kenya kuna mashoga wengi.

Tena hapa wakigoma kula nyumbani nahisi ndo watachapwa ajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…