Kenya: Wanaume waandaa mgomo

Kenya: Wanaume waandaa mgomo

Usiishiwe maneno mkuu asha coz hili linawagusa zaidi nyie.ingekua mimi ningegoma hata kutoa matumizi.huwezi kunipa kichapo

Mkuu wanaopigwa unadhani wana hela?
Kenya wenye chapaa ni wanawake,wanaume ni wapishi nyumbani.
 
duh kweli dunia inaelekea mwisho, yani mi nigome kisa nimepigwa na mke wangu.!!! nehhhi.., kwanza kunijbu hovyo tu atajuta kuzaliwa... Shame on them
 
duh kweli dunia inaelekea mwisho, yani mi nigome kisa nimepigwa na mke wangu.!!! nehhhi.., kwanza kunijbu hovyo tu atajuta kuzaliwa... Shame on them

Hahaha,angalia yule Co*** angekuja kukuchapa one day.
 
Dah! Hii kitu ni siriaz kabisa coz m npo pande za huku na nashuhudia kwenye vyombo vya habari vya huku daily vikiripoti matukio ya wanaume kunyanyaswa na wake zao ikiwa ni pamoja na kushushiwa vipondo kama watoto plus kunyimwa chakula lakin %kubwa ni wale walevi na wasiopenda kujishugulisha... Cha kushangaza eti wameunda kikundi cha kutetea haki za wanaume na leo asubuhi nimemsikia mwenyekiti wa hicho kikund akitishia kuipeleka serikal yao mahakaman coz haisikiliz malalamiko yao....,
 
Nadhani swala zima la kupigwa sio sawa, iwe kwa mwanamke, mwanaume, hata watoto haswa watoto. Kweli kuinua mkono, na kumchapa mwenzio vibao ama ngumi za haja hadi kumtoa damu, uvimbe ama maumivu makali - unaeleza vipi hilo? Hakuna cha jinsia hapa! Sio sawa.

Mifumo kandamizi ni ya ajabu sana! Watu nilazima wajiulize, kwahiyo wanaume wakipigwa sio sawa ila wanawake ni sawa ama? Maana kihostoria wanawake ndio wamekuwa ngoma! Nadhani, wote wanawake na wanaoume wanaopigwa wagome kula makwao itakuwa safi zaidi!

Kupigwa sio kitu kidogo jamani!
 
Mmmmmh!
Hii beijin wenzetu wameiput in action,
Hakuna wanaume wa kikurwa huko?
Au nao wanapewa vichapo pia?
 
wanawake wa Kenya mabaunsa sana nini?
haiingilii akili mwanaume na ndevu zako ukakubali knockout kwa mwanamke
au vidume vya Kenya afya mgogoro vinauzito wa unyoya?
 
duh kweli dunia inaelekea mwisho, yani mi nigome kisa nimepigwa na mke wangu.!!! Nehhhi.., kwanza kunijbu hovyo tu atajuta kuzaliwa... Shame on them
utasema.inawezekana hata jana hujalala ndani
 
Jamaa mmoja huko kenya alikuwa na kawaida hata maongezi yakiwa matamu vipi ikifika saa moja lazima arudi home. Siku moja jamaa zake wakamlazimisha abaki, ila jamaa alikosa amani kabisa na kilaji akastop kupakia. Baada ya pombe kuwakolea wale wenzie by saa nne wakaamua kurudi home, wakamdrop yule jamaa kwake.
Wife wa yule jamaa alitoka kama mbogo aliyejeruhiwa kaanza kumfokea na kumkunja mmewe mbele ya jamaa. Jamaa yake mmoja sababu ya pombe alisahau kuwa pale siyo kwake akamfikiri ni mkewe, akamkunja yule mama na kumpa kichapo. Jamaa alipoona kaokolewa akakimbilia ndani bila kutia neno.

Yule jamaa alipozinduka kuwa si mkewe alikuwa mpole ghafla na kwenda kwake. Baada ya wiki alimuita jamaa kwa minajili ya kumuomba msamaha, jamaa alienda kwa furaha na kumpa offa ya bia kwamba alisaidia kumpa mkewe somo.
Jamaa kauliza somo gani, kamwambia huwa anachezea kichapo kwa mkewe, sasa siku ile mkewe alipopigwa na jamaa yule mama aligundua utamu wa kichapo kawa na heshima home.
 
Hao ni wanaume rijali.

Usifanye mchezo na wanawake wa kenya ni soo...anakupa kichapo na anakulazimisha um "do"
hhahahahahhahahah, kichapo unapokea na ku ''do'' una um ''do'' kha hao wanawake ni kiboko ndo mana wanaume wengi wakenya wakija arusha wanawang'ang'ania wadada wa arusha kumbe wanakimbia kipigo kwao.
 
Mbona huwa nasikia Wajaluo wakolofi kumbe wakiwa Tanzania tu..........Ujinga huu kuandamana kisa mke anakupiga? au yenyewe ndio inaolewa?Aibu hii
 
Dah! Hii kitu ni siriaz kabisa coz m npo pande za huku na nashuhudia kwenye vyombo vya habari vya huku daily vikiripoti matukio ya wanaume kunyanyaswa na wake zao ikiwa ni pamoja na kushushiwa vipondo kama watoto plus kunyimwa chakula lakin %kubwa ni wale walevi na wasiopenda kujishugulisha... Cha kushangaza eti wameunda kikundi cha kutetea haki za wanaume na leo asubuhi nimemsikia mwenyekiti wa hicho kikund akitishia kuipeleka serikal yao mahakaman coz haisikiliz malalamiko yao....,

Ule msemo kwamba wanaume ni kama wanawake siku hizi na wanawake
ni kama wanaume kumbe unatumika Kenya,sio Tanzania.
 
Back
Top Bottom