Hahaha,angalia yule Co*** angekuja kukuchapa one day.
sipati picha huyo mwenyekiti wa icho chama chao.nadhani leo atakiona cha moto homesafi saaaaaana
utasema.inawezekana hata jana hujalala ndaniduh kweli dunia inaelekea mwisho, yani mi nigome kisa nimepigwa na mke wangu.!!! Nehhhi.., kwanza kunijbu hovyo tu atajuta kuzaliwa... Shame on them
hhahahahahhahahah, kichapo unapokea na ku ''do'' una um ''do'' kha hao wanawake ni kiboko ndo mana wanaume wengi wakenya wakija arusha wanawang'ang'ania wadada wa arusha kumbe wanakimbia kipigo kwao.Hao ni wanaume rijali.
Usifanye mchezo na wanawake wa kenya ni soo...anakupa kichapo na anakulazimisha um "do"
Safi saaaaaana
Ndo maana naichukia Beijing KUMBE INASEMA MTUPE KICHAPO?Mmmmmh!
Hii beijin wenzetu wameiput in action,
Hakuna wanaume wa kikurwa huko?
Au nao wanapewa vichapo pia?
Hapa kwetu anaechezea kichapo kila siku kutoka kwa mke wake ni Bishanga, bado hawajawa wengi.
Dah! Hii kitu ni siriaz kabisa coz m npo pande za huku na nashuhudia kwenye vyombo vya habari vya huku daily vikiripoti matukio ya wanaume kunyanyaswa na wake zao ikiwa ni pamoja na kushushiwa vipondo kama watoto plus kunyimwa chakula lakin %kubwa ni wale walevi na wasiopenda kujishugulisha... Cha kushangaza eti wameunda kikundi cha kutetea haki za wanaume na leo asubuhi nimemsikia mwenyekiti wa hicho kikund akitishia kuipeleka serikal yao mahakaman coz haisikiliz malalamiko yao....,