Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenyatta aliongea lugha rahisi kabisa alipozungumza na obama pale palace.
Kwamba Kenya ina mambo mengi ya kushughulika nayo kuinua uchumi na maendeleo ya nchi, hivyo anaona ushoga ni swala ambalo halihitaji kipaumbele au Kujadiliwa.
Kwa lugha rahisi kwako ewe slow learner ni kuwa, ushoga ni privacy ya watu wawili ambayo haihitaji attention ya taifa.
naskia kenyata katangaza anatambua uwepo wa hawa jamaa
Mbona povu linakutoka kama vile umeshatumika tayari?Wewe ni shoga unapromoti ushoga humu, mods ban hii ng'ombe inanitia kinyaa.
Rais Uhuru Kenyatta aliendelea kumueleza Obama kwamba ushoga sio utamaduni wa waafrika na kamwe hauwezi ukubalika. Kisha akaambia Obama kwamba washughulike na maswala ambayo tunakubaliana sote wakenya kwa waamerika. Akamalizia kwa kusema kwamba serikali haiwezi walazimishia wananchi kile ambacho wao hawakikubali. Itakuwa wewe ni 'slow learner' kama ulivosema, au ung'eng'e ulikupita kwa mbali sana.Kenyatta aliongea lugha rahisi kabisa alipozungumza na obama pale palace.
Kwamba Kenya ina mambo mengi ya kushughulika nayo kuinua uchumi na maendeleo ya nchi, hivyo anaona ushoga ni swala ambalo halihitaji kipaumbele au Kujadiliwa.
Kwa lugha rahisi kwako ewe slow learner ni kuwa, ushoga ni privacy ya watu wawili ambayo haihitaji attention ya taifa.
Bwege wewehaswaaaaa....hakuna namna...ila soon magu nae atapewa order
Kuzaa mtoto si rizki ni ajali na sii ndogomke ni yupi hapo, au huyo mweupe? Angevaa dela tu tukajua moja
Atashindwa wapi? wakati anazidi kushika kasi?Duh Shetani atashindwa daima
South Africa iko Asia??Rais Uhuru Kenyatta aliendelea kumueleza Obama kwamba ushoga sio utamaduni wa waafrika na kamwe hauwezi ukubalika. Kisha akaambia Obama kwamba washughulike na maswala ambayo tunakubaliana sote wakenya kwa waamerika. Akamalizia kwa kusema kwamba serikali haiwezi walazimishia wananchi kile ambacho wao hawakikubali. Itakuwa wewe ni 'slow learner' kama ulivosema, au ung'eng'e ulikupita kwa mbali sana.
Ipo kwenu Kolomije.South Africa iko Asia??
Kwetu sio Kolomije.Ipo kwenu Kolomije.