Kenya: Wanaume wavishana pete ya uchumba



Ulimaanisha kunijibu mimi au?
 
Kenyatta rejects role in election violence
Kenya's President Uhuru Kenyatta says his govt. had no responsibility for election violence, and assures those affected will have a channel to seek justice.
Source: CNN

Noja nijaribu tena link ya CNN maana ina-interview yote. Ninampenda alivyo clear aisee. Yaani hamumunyi maneno. Ukitaka kusikia comment yake kuhusu gayism forward mpaka dakika ya 11. (www.cnn.com/videos/tv/2018/04/19/amanpour-uhuru-kenyatta.cnn)


 
Wewe ni shoga unapromoti ushoga humu, mods ban hii ng'ombe inanitia kinyaa.
Mbona povu linakutoka kama vile umeshatumika tayari?
Kuolewa aolewe mwingine kuwashwa uwashwe wewe! nini tatizo kijana?
 
Rais Uhuru Kenyatta aliendelea kumueleza Obama kwamba ushoga sio utamaduni wa waafrika na kamwe hauwezi ukubalika. Kisha akaambia Obama kwamba washughulike na maswala ambayo tunakubaliana sote wakenya kwa waamerika. Akamalizia kwa kusema kwamba serikali haiwezi walazimishia wananchi kile ambacho wao hawakikubali. Itakuwa wewe ni 'slow learner' kama ulivosema, au ung'eng'e ulikupita kwa mbali sana.
 
oooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooppppppppppppppppppppppssssssssssssssssssssssssssssss!!!!!!!!
 
Et katoa chozi .....
Ina ana haki ya kulia mana kupata m2 mwenye akili timam kwa kutangaza hadharan ni kaz!...
Ukiendekeza uzungu ndyo hvo...
 
Wanatarajia wapate mtoto au ni kufanyiana ufirauni tuuu
mafirauni tu hao......hamna lolote hapo.....sijui kwa nn watu kama hawa hatupewi ruhusa raia tuwacontrol kwa kuwachoma hata moto
 
South Africa iko Asia??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…