Atuganile Mmari
Senior Member
- Mar 14, 2018
- 158
- 253
Fuatilia vzr mkuu wengi ni style ya james delicious,mashoga wachache sana wenye muonekano wa u gentleman!Fatilia....
mashoga wengi asilimia 90% ni magetlemen kimuonekano...
kazi kwako....kupanga ni kuchagua
Hebu nieleze kwanini una like nyingi kuliko watu wote wakati umeguna tuMhhh!
[emoji26][emoji26][emoji849][emoji849] nikuwaondoa wao watuachie dunia yetu
ashinde wakati ameshashinda?Duh Shetani atashindwa daima
Walipigwa msasa kule London kwenye kile kikao cha wakuu wa Commonwealthnaskia kenyata katangaza anatambua uwepo wa hawa jamaa
oooohhh upo mbali sana na dunia kijana......angalia worldwide mashoga sku hz hawarushi vimikono kama james....yule dgo ni kaamua tu kubadilika mpka mwili awe mwanamke mana yupo hvo tangu akiwa kijana mdgo.Fuatilia vzr mkuu wengi ni style ya james delicious,mashoga wachache sana wenye muonekano wa u gentleman!
Kitendo cha hawa jamaa kufanikiwa kuoana ni ushindi kwa shetani.are u sure
Haswaaah!na kufeli kwa Mungu?