Kenya: Wanaume wavishana pete ya uchumba

Kenya: Wanaume wavishana pete ya uchumba

na ubrazameni wote huo wanachimbuana mifereji? ukiona mwanaume anashindana na dada zake kupaka wanja na pafume muda wote hapo shida ipo
 
Roho imechefika kama nilivyoona zile picha za yule jamaa wa Arusha kipindi kile please muhudumu nipe shot nyengine ila usiweke ice ili nistimike zaidi
utachefuka vizuri hyo go ahead ikiingia tanzania
 
na ubrazameni wote huo wanachimbuana mifereji? ukiona mwanaume anashindana na dada zake kupaka wanja na pafume muda wote hapo shida ipo
na ndo yanapoanzia haya matatizo
 
kwa hyo we hao jamaa unaona ni haki yao kufanya hvo?
Ni haki yao kabisa!
Kwanza ni watu wazima,
Pili hawajalazimishwa na yeyote,
Tatu ni kwamba hawaingilii uhuru wa mwingine.
Hakuna dhambi ndogo hata wewe ni shahidi.
Jambazi anatenda dhambi ya wizi kitu ambacho kinaacha makovu dhidi ya aliyeibiwa!
Hawa wao wanafanya mapenzi ya jinsia moja kitu ambacho hakimdhuru mwingine.

Kwanini sasa mlaumu watu ambao hawana affect yoyote kwenu ilihali kuna mengi yanayoidhuru jamii?

JARIBU KUHESHIMU UHURU WA MWENZAKO IKIWA UHURU HUO HAUNA AFFECT KWAKO.

mwili hajatumia wakwako!
hajaingilia uhuru wako!
hajakuharibia chochote!
Kwanini basi ikuume?

Uhuru wa mtu ikiwa haukudhuru usijaribu kuuingilia.
 
Kuona picha namna hiyo unaweza usipatwe na mshangao, the real mshangao ni pale utakapoanza kuifikirisha akili yako kwamba nini hasa hawa jamaa wanafanya wawapo faragha...

...it's so disgusting!!
 
Kuona picha namna hiyo unaweza usipatwe na mshangao, the real mshangao ni pale utakapoanza kuifikirisha akili yako kwamba nini hasa hawa jamaa wanafanya wawapo faragha...

...it's so disgusting!!
daaah [emoji2] mpka umeniwazisha na mimi
 
Mambo ni [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
 
Back
Top Bottom