Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Astaghafirullah looh dunia imefikia hatua za mwisho wallahVijana hao wawili kutoka nchini kenya wameamua kuweka wazi mahusiano yao ya kimapenzi na kuvishana pete za uchumba...wakitarajia kuwa mke na mume hiv karibuni.
daaah dunia imeamua kuvaa bikini sasa
Yani huyo jamaa ambaye ndo anaolewa mpaka analia kwa kufurah kulikozidi jamani.View attachment 754445View attachment 754446View attachment 754447
Wanayo effect jamii na watoto wakiwaona wanaingilia uhuru kwa kuchafua mawazo ya watu. You can't justify this shit.Ni haki yao kabisa!
Kwanza ni watu wazima,
Pili hawajalazimishwa na yeyote,
Tatu ni kwamba hawaingilii uhuru wa mwingine.
Hakuna dhambi ndogo hata wewe ni shahidi.
Jambazi anatenda dhambi ya wizi kitu ambacho kinaacha makovu dhidi ya aliyeibiwa!
Hawa wao wanafanya mapenzi ya jinsia moja kitu ambacho hakimdhuru mwingine.
Kwanini sasa mlaumu watu ambao hawana affect yoyote kwenu ilihali kuna mengi yanayoidhuru jamii?
JARIBU KUHESHIMU UHURU WA MWENZAKO IKIWA UHURU HUO HAUNA AFFECT KWAKO.
mwili hajatumia wakwako!
hajaingilia uhuru wako!
hajakuharibia chochote!
Kwanini basi ikuume?
Uhuru wa mtu ikiwa haukudhuru usijaribu kuuingilia.
yaani nimecheka kwa kishindoAcha kuchekesha wewe....sprite ipo tz tu?? una tv nyumbani??
Hadi nimesikia huku huo mshindo[emoji85] [emoji85]yaani nimecheka kwa kishindo
umesikia hat wew mdog wangueeeHadi nimesikia huku huo mshindo[emoji85] [emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]umesikia hat wew mdog wangueee
mzima lkn[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Inaweza kutokea hasa kama mke anapenda kusukwa na kuoshwa miguu na mashoga, roho ya ushoga inamuingia hatimaye akizaa mtoto anatwaa hiyo roho na hatimaye shoga anaingia kwenye familia.Tusiongee sana. Laana hii inaweza kukupata mwanao wa kiume akaolewa. Na pesa zako sijui uso wako utauweka wapi
Mimi mzima hofu kwakomzima lkn
mie kher tu alihamdulillahMimi mzima hofu kwako
Nafurahi kusikia hivyo Dada yangu.mie kher tu alihamdulillah