Kenya: Wanaume wavishana pete ya uchumba

Mapenzi mubashara! kila mtu ana uhuru wake binafsi kuamua awe vip!
Jambo la muhimu ni kuwalea wanao vyema na ikitokea akabadilika ukubwani wewe nawa tu mikono maana ni mtu mzima tayari
 
Mapenzi mubashara! kila mtu ana uhuru wake binafsi kuamua awe vip!
Jambo la muhimu ni kuwalea wanao vyema na ikitokea akabadilika ukubwani wewe nawa tu mikono maana ni mtu mzima tayari
sijui hata nikwambie kitu gn we kijana mwenzangu...[emoji52]
 
Roho imechefika kama nilivyoona zile picha za yule jamaa wa Arusha kipindi kile please muhudumu nipe shot nyengine ila usiweke ice ili nistimike zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…