Kenya: Wanaume wavishana pete ya uchumba

Hii hapana bora wizi wa 1.5 Trillion
Ndio akili zako hizo hazina tofauti na hao akina magu.

Wewe kwako ubadhirifu wa fedha ambazo zingeokoa na kuinua maisha ya watanzania wanaokunywa tope unaona si lolote na ni bora kuliko privacy za watu wawili walioamua kwa hiari yao kupendana bila kuathiri mtu mwingine??
 
Afadhali wewe una akili timamu!!
 
Kuona picha namna hiyo unaweza usipatwe na mshangao, the real mshangao ni pale utakapoanza kuifikirisha akili yako kwamba nini hasa hawa jamaa wanafanya wawapo faragha...

...it's so disgusting!!
How disgusting?????

Wao hawaumii kabisa, lakini wewe ndio unaumia na kukereka kwa niaba yao!!


😀 😀
 
Kenya ni nchi ya kipato cha kati
Ni kweli, Kenya inapaa kiuchumi kwa sababu inashughulika na mambo makubwa na yenye tija.

Tofauti na nchi zenu za kijima ambapo hata mtu akijamba linageuka kuwa swala la kitaifa.

Tizama nchi zinazohangaika na kukimbizana na mambo madogo madogo kisha zilinganishe na nchi kama Kenya, South Africa na first world countries.

Ninyi huku makapuku, hata kubusu mtu ni swala linalohitaji kujadiliwa na bunge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…