Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza chinja mtu.mi ningekua natapika kila ninapowaona
Mhhh!
Mmhh!
[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23] hata Mungu ataelewa na kukusamehe kwa kuua
Tengua kauli mkuu,hatutakagi mashoga siendo magentlemen mnaowataka hao
Mmh,.hilo unalitatuaje wakati wengine washakalia kaa la moto,.?usiende mkuu.....dawa ya tatzo ni kulitatua sio kulikimbia
Jamaa anazisaka pesa za wazungu ki nguvu ni moja ya mashart yaonaskia kenyata katangaza anatambua uwepo wa hawa jamaa