Kenya wanavyoionea Somalia na kuinyonya kama Wakoloni

Hebu nenda Hargeisa, Mogadisho japokuwa miji ilibomoka kwa vita kaangalie maendeleo.

Somaliland ndio nchi ya kwanza duniani kutumia biaometrics na iris scan to vote. Google it .

Ni kweli NE kenya maendeleo yako nyuma, lakini kwa maiaka mingapi serekali ya kenya walitumia issue ya emergency law kuikandamiza. Na pia wabunge na wanasiasa wakisomali watokeao huku ni watu bure kabisa.
 
Somaliland is a very progressive country. Unlike their counterparts Somalia .
Terrosit attacks are very rare .They are very torelable even to Christianity.

Kenya is considering to officially recognize it as an independent state.Kenya generally enjoys codial relationship with Somaliland.
 

This is something else also worth noting .

also remember that Uganda had sent a delegation of their Mps to somaliland a week earlier.
 
Sera kubwa ya USA ni kuwa HANA RAFIKI WALA ADUI WA KUDUMU ILA WANA MASLAHI YA KUDUMU

mfano kuanzia miaka ya 2000 kurudi nyuma USA alikuwa ni adui mkubwa wa Japan ila alivyogundua faida za urafiki na Japan wakamaliza bifu

So msaada mkubwa mtakaopewa na usa ni kuuziwa silaha basi
 
Hiyo haitoshi kuna watu walichomwa had moto wa hilo kabira
 
Wanajeshi na wananchi wengi wamepoteza maisha. Wakimbizi wa Kisomali kila siku wanapotelea Kenya itakuwaje sisi wakoloni?
Somali has been nothing but a pain in our a**!

Yeah especially ur as**
 

Tanzania syo somalia jichanganyen sasa et pemba sijui nn ndo mtaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…