- Thread starter
- #181
Hebu nenda Hargeisa, Mogadisho japokuwa miji ilibomoka kwa vita kaangalie maendeleo.Hata baada mwafrika kukandamizwa na Msomali kupewa kipaumbele na serekali ya mkoloni...Msomali Bado ako Nyuma Sana kimaendeleo. Ukitembelea miji yao kama vile wajir ,Mandera ,Elwak ,Garissa ...utagundua kuwa hawa jamaa wanaishi utopian dream
Tembelea miji Kama vile Thika,Nyeri ,kisii Nakuru ,Muranga, Naivasha Nanyuki e.t.c na utapata wako mbele Sana Ukilinganisha na Wasomali.
Somaliland ndio nchi ya kwanza duniani kutumia biaometrics na iris scan to vote. Google it .
Ni kweli NE kenya maendeleo yako nyuma, lakini kwa maiaka mingapi serekali ya kenya walitumia issue ya emergency law kuikandamiza. Na pia wabunge na wanasiasa wakisomali watokeao huku ni watu bure kabisa.