Kenya wanavyoionea Somalia na kuinyonya kama Wakoloni

1)When british colonies were given independence, the land and sea bounderies were defined..Its Britain that created the land mass you call kenya. They own the original title deed of kenya..This original map is what was used to determine that migingo is in kenya not uganda

2)In 2009/10 kenya made an under the table deal with the corrupt administration in somalia for extending the boundary northwards in total disregard of the original colonial boundaries..That is why kenya wanted a diplomatic boardroom negotiation because a legal resolution would necessiate the use of colonial maps

Those other things are stories that you can tell your grand kids 30 years from now about how kenya owned some ocean.
In the meantime prepare for war somali will defend their territory
 
Roho mbaya yako
ndio inasababisha amani kukosekana Duniani

Kwakuwa ni Waislam tu
Ndio hutaki wapate amani na utulivu!!!!!

Kuwa makini na maneno yako
Kwani umewahi kuwaona waislamu wakiwa na Amani?Watafute popote unionyeshe waislamu wenye amani hata Kama Taifa lote limejaa kanzu na vibandiko....acha kunitisha wewe
 
Umesema Us hawez isaidia Islamic state au unakana ulichoandika eti au hujui kusoma pia.
Nikakujibu Us anaangalia interest haangalii religion akiona interest atasaidia popote kukandamiza popote bila ya kujali dini.
Kivp haviendan wakenya bhana hata kiswahili yenyewe huijui vema
Soma nilichoandika, alafu usome chenye umeandika. Alafu jiulize kama zinaambatana.
 
Waislam wana amani sana,hususan wenye kujitambua

Uislam tosha kuwa nembo ya amani Duniani

Ila hamtaki tu,imma kwa Ujinga mlionao
au Roho mbaya
Kwani umewahi kuwaona waislamu wakiwa na Amani?Watafute popote unionyeshe waislamu wenye amani hata Kama Taifa lote limejaa kanzu na vibandiko....acha kunitisha wewe
 
Didn't you say its about the money?
The US gets almost nothing in Somalia. I bet they spend more there for security than they get in return.

With Kenya there is trade. We sell them clothes and produce, we buy their planes and machinery.
You are too blind, They are sending containers of Uranium minerals everymonth, there are mountains that have been flattened. Most if the oil concessions in somalia are owned by USA groups.

Somalia is a mineral resource rich country, and very strategically located.
 
Unashauri nini labda, kwamba Wasomali watelekeze biashara zao Kenya na kuja kuwekeza huko Tanzania au vipi.
Sisi wapo wanatuuzia gahawa mgahawani na vyakula.Awawezi teka biashara kubwa mbele ya makabika ya uku mfano mchaga,mkinga,etc
 
Waislam wana amani sana,hususan wenye kujitambua

Uislam tosha kuwa nembo ya amani Duniani

Ila hamtaki tu,imma kwa Ujinga mlionao
au Roho mbaya
Ni vizuri kwamba unaamini waislamu wana Amani ila umeshindwa kunipa mfano wa waislamu wenye amani. Kimsingi Mimi siwachukii waislamu na napenda waislamu wenye kutambua kwamba Uislamu ni dini na sio agenda za ubaguzi, vita, wizi, ubakaji, inyanyasaji, kukosoana wao kwa wao kwa kuuana, kudanganya, unafiki na uchawi. Ukiwa muislamu unawahofu waislamu wenzio kuliko hata wakristo? Hii haikubaliki
 
Ethiopia na Kenya tunahangaika na hizi mangombe na Kuna watanzania wako nyuma yao! Tanzania mnawajua Hawa magaidi kweli?
Acha wawa challenge tu hakuna namna.mna ji proud sana sie bongolala tunacheki movie lenu.msipige kelele dawa ndo inapenya
 
Umeropoka kuna nchi iliyo tulivu kam suudia au kuna taifa lililo na amani kam Qatar au Falme za kiarabu ama Oman ulishawahi sikia vta ktk hayo mataifa.
Kingine nyie wakristo ndio chanzo cha uharibifu wa amani Kwan nan kaiharibu Iraq,nan anaiharibu Palestine,nan ameiharibu libya,nan anaejaribu kuiharibu iran toka kipind kile km sio marekan kafir mwenzenu trump na wenzake obama na bush waliopita.
Makundi ya kigaid ni American regimes.km Isis inayoiharibu syria iran kaweka wanamgambo mmarekani anamshurutisha atoe ili yeye afanye yake kiurahisi.Na km hujui alshabaab wanachopinga wao Somalia kujihusisha na nchi za kikafir km marekan ndio maana wakataka wao waongoze na kujaribu kufanya mapinduzi.
Au nikuulize wale anti baraka walioharibu aman central African republic kwa kuwaua waislam na kuwabaka nyumba hadi nyumba wale si wakristo kwan waislam.
Mikristo mm naichukiaga bcuz ndio chanzo cha uharibifu wa amani km anavyofanya Netanyahu na Trump kwa sasa na kama alivyofanya Obama na Bush kwa kupandikiza makund na ku brainwash waumin wa kiislam wauane yey akiiba mali asili.
Nakuhofia kafir kuliko Muslim mwenzangu huwez sema sisi tunaharibu aman ilhal nyie ndio chanzo.
 

US haiwezi saidia islamic state over a Christian state. Hivyo ndivyo niliandika.
When the islam countries are fighting by themselves, US can chose sides.
But I don't recall anytime in history, that there was a conflict between a Christian vs Islam country, and the US supported the Islam country.
 

The first time the issue of this boundary came up was in 1979, when Somalia was peaceful.
They agreed that it was indeed in Kenya.
For them to revive old tales 40 years later, that's stupidity. It's a tactic politicians use in many countries to improve their popularity and appear strong.
 
 
Pambaneni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hzo maneno tu umeziandika kwan wale wazungu walivyokua waanachukua.slaves walikua waislam.
Na km din yenu ya kipekee mbona ndio wavuruga aman.
Na kuropoka kwako uislam ulikua tangia enzi za ottoman empire utasema hzo over 23 years kumbe we ni bwege au hujui km ottoman empire ila ngome ya waislam misri ilikua ngome ya waislam unataka sem hzo just 23 years we mpumbav.
Km din yenu ya uhakika mbona uislam ndio unakua mpk western parts tena Uk umekua mpk kuingia to 30% usiropoke kijana
 
What I meant is that Christianity and Judaism existed long before Islam.

Islam came around 650AD and the Quran was written over a period of 23 yrs by one man.
 
What I meant is that Christianity and Judaism existed long before Islam.

Islam came around 650AD and the Quran was written over a period of 23 yrs by one man.
Unaona ulivyo muongo ilhali quran imeandikwa kipind cha ujio wa uislam mm nina miaka hyo 23 na quran nimeona ikiwa imesomwa ktk vitabu vilivyochakaa vya mababu zangu na mababu embu usiropoke jikune kipere kinakuwasha ww
 
What you are saying here is like someone saying that black Americans have invested heavily in the US, instead of taking their contribution to Africa.
99% of the Somali in Kenya are Kenyans by birth. They have never known any other country.
99% of the somali investment are owned by Somalis who came from somalia, Period.

Ndugu wala usidanganyike. Garisa lodge imeanzishwa na wao, nyumba nyingi za eastleigh zilikuwa za wasomali wa kabila la Isaac, ambao asili yao ni somaliland, wao wametomekea ulaya na canada, nyumba zao zimenunuliwa na Hawiya na Darood kutoka ex Italian Somalia.

Please dont dream, all of Nairobi, Mombasa na Nakuru sasa, pesa ni za wakutokea somalia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…