Kenya warusha satellite angani

Kenya warusha satellite angani

hapo utakuta ni mchina ndiyo kafanya kila kitu.
 
Tanzania kwani hatuna satellite angani ya kwetu

Ova
tuache kwanza, tunamalizia reli yetu ya mwendo kasi na bwawa la umeme - haya ma setellite haya yatakusaidia kushusha bei ya umeme? yatakusaidia kufika kwa haraka na kwa bei nafuu unakotaka kwenda ?
 
Back
Top Bottom