Production ya unga itaongezekaa ndiyo price yake iende chiniii. Au ni subsidy from serikali??
Mnalilia unga, huku serikali yenyu ikifuja pesa kwa kununua satellite ambayo hata haizalishi kwa wakati huu ambao ni mgumu kwenu.
tuache kwanza, tunamalizia reli yetu ya mwendo kasi na bwawa la umeme - haya ma setellite haya yatakusaidia kushusha bei ya umeme? yatakusaidia kufika kwa haraka na kwa bei nafuu unakotaka kwenda ?