Sio kila jambo hupingwa bali ni katika kudai haki yako... Sasa mkuu kila kitu ukikubli unakua mtu wa aina gani...Na ukiwa unapinga kila kitu huo ni ukichaa, umeshasikia migomo isiyokwisha katika nchi zenye demokrasia iliyokomaa kama USA, Canada, Australia na Europe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe huwezi kunielewe IQ yako ya ku reason ni ndogo sana, nenda Facebook utakuta vijana rika lako
Hivi kuna taifa lisio na migomo mkuu unanichekesha sana hebu acha kufikiri chini ya kiwangoSo unajitangaza kimataifa kwa kusema nchi yenu kuna mgomo airport? sasa hao unaowatangazia watakujaje ikiwa ndege haziwezi kutua??
Kujipendekeza tu,kuwa wao ndio kila kituWakenya wakiandika habari bwana lazima wadrop hivi vimaneno... "largest airport in the region" "east africa aviation hub" etc.
Huwa hamjiamini inaonekana.. maana kutafuta assurance kila wakati ni sign ya kutokujiamini...
Unataka kuniambia kiuchumi Tanzania tumewapita wakenya? Umetumia kigezo kipi mkuu, nijibu hili swali nikuulize swali lingineWanatumia pesa nyingi kujitangaza lakini output ni ndogo Sana, hiyo ni biashara au mianya ya kula pesa ya serikali?. Tanzania tunatumia nguvu kidogo sana kujitangaza lakini tunapata mara tatu ya kipato cha Kenya, who is smarter?
Sent using Jamii Forums mobile app
nenda Facebook utakuta vijana rika lako
Unataka kuniambia kiuchumi Tanzania tumewapita wakenya? Umetumia kigezo kipi mkuu, nijibu hili swali nikuulize swali lingine
Kenya ni failed state usiwatetee, Wewe ulishawahi kusikia nchi yoyote ile duniani ambayo sector ya Afya haukufanyakazi kwa zaidi ya siku 100 na bado serikali haitoi ufumbuzi na hakuna anayewajibika?.Sio kila jambo hupingwa bali ni katika kudai haki yako... Sasa mkuu kila kitu ukikubli unakua mtu wa aina gani...
Kwa heshima gani uliokua nayo humu jf, kwanza who cares hizi fake id heshima gani unaitaka wewe nenda insta kule ulipozoeanikiendelea kujibizana na ww bwana mdogo nitakuwa nimekupa heshima usiyostahili
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo anadhani Kenya ni kama makondoo ya ccm ambayo yanaburuzwa na hayahojiUkiona unakubali kila kitu pasipo kuhoji basi ujue una mapungufu makubwa sana, lazima kila mtu awe mitazamo tofauti kuleta tija katika kila kitu sio unakubali tuuuu hujui hata haki zako, nyie watanzania mmezoea kuburutwa kama kuku hao ni wakenya banah wanajua haki zao kimsingi na kisheria kabisa
Si ndiyo hapo mkuu, miswada mingapi ya kisheria inapitishwa bungeni ni ndiyooooo ndiyooooo ndiyooooo yani mijitu toka ccm ni bogus kabisa ni bendera fuata upepo, kuna kijamaa kingine kipo hapa kinajifanya kina heshima sana humu jf ni pumba juu ya pumba hichi kijamaa Jimmie GatsbyHuyo anadhani Kenya ni kama makondoo ya ccm ambayo yanaburuzwa na hayahoji
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ndiyo hapo mkuu, miswada mingapi ya kisheria inapitishwa bungeni ni ndiyooooo ndiyooooo ndiyooooo yani mijitu toka ccm ni bogus kabisa ni bendera fuata upepo, kuna kijamaa kingine kipo hapa kinajifanya kina heshima sana humu jf ni pumba juu ya pumba hichi kijamaa Jimmie Gatsby
Hivi mkuu ukiacha KIKOKOTEO katika lile sakata kwenye swala la mafao, kuna jambo lenye utata na mgogoro kama fao la kujitoa na wahanga ni wengi mno, ni miaka mingapi sasa watu wanaachishwa kazi au kuacha kazi lakini hawapewi mafao yao.... Sasa mfano mdogo ni huo tu ni janga la kitaifa lakini sio TUCTA wala SIO WAFANYAKAZI WENYEWE wamegoma, kugoma sio njia mbaya ni namna ya kufikisha ujumbe kwa haraka na kupatiwa majibu ya haraka... Acheni kuwaza chini ya viwangoKenya ni failed state usiwatetee, Wewe ulishawahi kusikia nchi yoyote ile duniani ambayo sector ya Afya haukufanyakazi kwa zaidi ya siku 100 na bado serikali haitoi ufumbuzi na hakuna anayewajibika?.
Mwezi uliopita serikali ya Tanzania ilipitisha matumizi ya kikokotoo kipya, wafanyakazi wakakikataa na kukipinga kwa njia za kistaarabu na mwisho wakafanikiwa, au Wewe lazima watu wagome kwenda kazini na kuandamana mabarabarani na kuuliwa na polisi kama huko Kenya Ndio uone wamepinga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Fuatilia mjadala hapo juu utaelewa usidandie lori kwa mbeleMada ni mgomo wa wafanyakazi uwanja wa ndege Kenya.
Sijui ccm wameingiaje hapa!!!hivi unafikiri kwa kutumia kiungo gani??
Hilo Ndio tatizo la mtu kama Wewe, hilo fao la kujitoa kwako Ndio unaona ni muhumi zaidi kuliko njia inayotumika kulipata fao lenyewe?. Ninakushauri kitu kimoja, ukiendelea na namna hii ya ujengaji wa hoja zako, watu wengi watakudharahu na kukupuuza.Hivi mkuu ukiacha KIKOKOTEO katika lile sakata kwenye swala la mafao, kuna jambo lenye utata na mgogoro kama fao la kujitoa na wahanga ni wengi mno, ni miaka mingapi sasa watu wanaachishwa kazi au kuacha kazi lakini hawapewi mafao yao.... Sasa mfano mdogo ni huo tu ni janga la kitaifa lakini sio TUCTA wala SIO WAFANYAKAZI WENYEWE wamegoma, kugoma sio njia mbaya ni namna ya kufikisha ujumbe kwa haraka na kupatiwa majibu ya haraka... Acheni kuwaza chini ya viwango
Hivi wewe upo nchi gani, au unatumia kigezo gani kupandisha hoja yako juu ya hoja, usijione wewe ni bora sana, majadiliano huwa hayakashifu upande wa pili bali uonyesha pale penye mapungufu, eti uniniheshimu ndiyo maana unanijibu hebu acha ujuha baki na heshima yako, unajidharau mwenyewe, unongela fao la kujitoa hivi wewe ni mwajiriwa kweli, kuna sakata linalowatesa wafanyakazi kama hili fao jinga kabisa wewe tena uwe unajifunza kukaakimya kwa vitu usivyovijua unatia aibu ungechagua kukaa kimya ingekunyima nini, unalazimisha mitazmo yako iwe yangu yani kweli wewe bongo lalaHilo Ndio tatizo la mtu kama Wewe, hilo fao la kujitoa kwako Ndio unaona ni muhumi zaidi kuliko njia inayotumika kulipata fao lenyewe?. Ninakushauri kitu kimoja, ukiendelea na namna hii ya ujengaji wa hoja zako, watu wengi watakudharahu na kukupuuza.
Inaonekana hufuatilii mambo na uelewa wako ni ndogo Sana. Kuhusu fao la kujitoa, wafanyakazi walipinga sambamba na kupinga kikokotoo, walipinga kistaarabu kabisa, siku Magufuli alipotengua matumizii ya kikokotoo kipya, pia alitengua sheria hiyo ya mafao.
Mkuu nimekuheshimu sana Ndio sababu nimetumia muda mrefu kukuelewesha, Tafadhali sana kabla hujachangia uwe unajipa muda wa kutosha kukuza uelewa wako, ni aibu kubwa majirani kujua kwamba hata nchi yako mwenyewe huijui vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
haya wale mnaowasifia kwa demokrasia na mambo kede kede.....
wapo huko wanatembeza kipigo hadi kwa abiria ..JKA hyo abiria wanakula bakora View attachment 1039247
Sent using Jamii Forums mobile app