Hilo Ndio tatizo la mtu kama Wewe, hilo fao la kujitoa kwako Ndio unaona ni muhumi zaidi kuliko njia inayotumika kulipata fao lenyewe?. Ninakushauri kitu kimoja, ukiendelea na namna hii ya ujengaji wa hoja zako, watu wengi watakudharahu na kukupuuza.
Inaonekana hufuatilii mambo na uelewa wako ni ndogo Sana. Kuhusu fao la kujitoa, wafanyakazi walipinga sambamba na kupinga kikokotoo, walipinga kistaarabu kabisa, siku Magufuli alipotengua matumizii ya kikokotoo kipya, pia alitengua sheria hiyo ya mafao.
Mkuu nimekuheshimu sana Ndio sababu nimetumia muda mrefu kukuelewesha, Tafadhali sana kabla hujachangia uwe unajipa muda wa kutosha kukuza uelewa wako, ni aibu kubwa majirani kujua kwamba hata nchi yako mwenyewe huijui vizuri.
Sent using
Jamii Forums mobile app