KENYA: Wasafiri wa Ndege wakwama Uwanja wa Jomo Kenyatta kufuatia mgomo wa Wafanyakazi

KENYA: Wasafiri wa Ndege wakwama Uwanja wa Jomo Kenyatta kufuatia mgomo wa Wafanyakazi

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Usafiri wa anga umevurugika nchini Kenya kufuatia mgomo wa wafanyakazi wa Mamlaka ya anga ya nchi hiyo(KAA)

Wafanyakazi hao wamechukua hatua hiyo ili kudhihirisha namna wasivyopendezwa na Bodi yao ya Menejimenti

Utaratibu mbovu wa kusikiliza malalamiko ya wafanyakazi, pamoja na malipo ya fidia kwenye mambo mbalimbali

Milango ya kuingilia ndani imefungwa na kuwaacha abiria wakisota katika viunga vya uwanja huo

=======

Flights have been disrupted at Jomo Kenyatta International Airport in Nairobi after aviation workers went on strike.

The striking staff, who downed their tools in the small hours of Wednesday, are unhappy with the board of management, unfair staff hiring and compensation and proposed takeover of the airport by Kenya Airways.

NO FLIGHTS

No plane has landed at the largest airport in Kenya and East Africa since 3am, with a Rwanda Air plane that was supposed to pick up passengers leaving empty.

By 8am, tens of flights into and out of the airport had also been hit by the job boycott that is threatening to paralyse air transport in the country.

The flight schedule on the Kenya Airports Authority website showed that at least six inbound flights, which were set to land between 1.55am and 6.59am, were still marked ‘scheduled’

For instance, flight AF5191 to Amsterdam Schiphol, which was scheduled to depart at 2.59am, was still marked ‘scheduled’ by 8am.

Long queues have formed at the airport's gates, with some sources telling the Nation that some of the airport's entry points had been closed by the workers on go-slow, prompting a heavy deployment of police.

Fire engines have also been withdrawn from some runways, with planes that were supposed to leave the East African aviation hub remaining grounded.

Hundreds of passengers are stranded at the airport after their flights were delayed or rescheduled, with many taking to social media to vent their frustration.

"We are stranded at JKIA since 3am. All flights grounded," Kimany Kiongo posted on Twitter.

"Been here since 3am... no entry into the terminal at #JKIA due to strike action," Nambi Sharon tweeted.

The Kenya Aviation Workers Union (Kawu) has questioned the proposed merger of the loss-making airline and the Kenya Aviation Authority (KAA), a plan that has since been halted by Parliament.

The union’s members include cabin crew, security, air traffic controllers, and aircraft maintenance service providers.

GRIEVANCES

Essentially, Kawu boasts of a membership that is also very critical to the security and smooth running of the airports in the country.

Kawu is demanding the removal from office of KAA Chief Executive Johnny Andersen and chairman of the board Isaac Awuondo and their KQ counterparts.

The union has questioned how the national carrier’s CEO Sebastian Mikosz, board chairman Michael Joseph and a team of managers and consultants were allegedly paid a whopping Ksh1.3 billion ($13 million) in 18 months.

They want the KQ and KAA managers and directors to be shown the door.

“It is only then that workers in this industry will have the confidence that the issues affecting them will be addressed,” Kawu secretary-general Moses Ndiema said.

KAA had on Tuesday, in a media advisory, assured travellers that flights would not be disrupted.
 
Kenyatta ni airport kubwa Africa mashariki
 
Hili linchi kila kukicha ni migomo isiyo na maana
Kuleta usumbufu kwa watu!!
Ukiona unakubali kila kitu pasipo kuhoji basi ujue una mapungufu makubwa sana, lazima kila mtu awe mitazamo tofauti kuleta tija katika kila kitu sio unakubali tuuuu hujui hata haki zako, nyie watanzania mmezoea kuburutwa kama kuku hao ni wakenya banah wanajua haki zao kimsingi na kisheria kabisa
 
Wakenya wakiandika habari bwana lazima wadrop hivi vimaneno... "largest airport in the region" "east africa aviation hub" etc.

Huwa hamjiamini inaonekana.. maana kutafuta assurance kila wakati ni sign ya kutokujiamini...
Huo ni mpango wao wakijitangaza kimataifa, nyie ni kitu gani mmeweza kujitangaza mlima Kilimanjaro tu mmeshindwa kufikia malengo mmebaki kulialia tu wakenya wanautangaza mlima wetu ni aibu sana, hivi umeshaona wapi mfanyabiashara anajitangaza kibiashara akajishusha , Watanzania wachache shuleni mlienda kujaza madarasa tu hakuna mlichoengeza,
 
Teh teh teh tihiii
Kwa hiyo wewe siyo mTanzania.
 
Ukiona unakubali kila kitu pasipo kuhoji basi ujue una mapungufu makubwa sana, lazima kila mtu awe mitazamo tofauti kuleta tija katika kila kitu sio unakubali tuuuu hujui hata haki zako, nyie watanzania mmezoea kuburutwa kama kuku hao ni wakenya banah wanajua haki zao kimsingi na kisheria kabisa
Na ukiwa unapinga kila kitu huo ni ukichaa, umeshasikia migomo isiyokwisha katika nchi zenye demokrasia iliyokomaa kama USA, Canada, Australia na Europe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ni mpango wao wakijitangaza kimataifa, nyie ni kitu gani mmeweza kujitangaza mlima Kilimanjaro tu mmeshindwa kufikia malengo mmebaki kulialia tu wakenya wanautangaza mlima wetu ni aibu sana, hivi umeshaona wapi mfanyabiashara anajitangaza kibiashara akajishusha , Watanzania wachache shuleni mlienda kujaza madarasa tu hakuna mlichoengeza,
sikia hii ng'ombe sijui ndio inaongea mashudu gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ukiwa unapinga kila kitu huo ni ukichaa, umeshasikia migomo isiyokwisha katika nchi zenye demokrasia iliyokomaa kama USA, Canada, Australia na Europe?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi nimesoma ulaya na Marekani, vyuoni hakujawahi kuwa na migomo HATA siku moja. Lkn kule home migomo ya wanafunzi ni kawaida, sasa kwa hapo huyu jamaa toxic9 atasema bongo iko juu kidemokrasi kuliko ulaya na Marekani?

Migomo ni dalili za kutoshughulikia changamoto ipasavyo.
 
Huo ni mpango wao wakijitangaza kimataifa, nyie ni kitu gani mmeweza kujitangaza mlima Kilimanjaro tu mmeshindwa kufikia malengo mmebaki kulialia tu wakenya wanautangaza mlima wetu ni aibu sana, hivi umeshaona wapi mfanyabiashara anajitangaza kibiashara akajishusha , Watanzania wachache shuleni mlienda kujaza madarasa tu hakuna mlichoengeza,
Wanatumia pesa nyingi kujitangaza lakini output ni ndogo Sana, hiyo ni biashara au mianya ya kula pesa ya serikali?. Tanzania tunatumia nguvu kidogo sana kujitangaza lakini tunapata mara tatu ya kipato cha Kenya, who is smarter?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Migomo isiyokwisha ni dalili ya kuzidi kwa enequalities katika jamii. Hawa wafanyakazi wa Kenya wanekuwa wakipewa ahadi hewa na GoK, kama ambavyo UHURUTO walivyoahidi kujenga viwanja vitano Vikubwa, laptop per child, ajira kwa vijana na mambo mengine lakini hakuna Hata moja wametimiza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ni mpango wao wakijitangaza kimataifa, nyie ni kitu gani mmeweza kujitangaza mlima Kilimanjaro tu mmeshindwa kufikia malengo mmebaki kulialia tu wakenya wanautangaza mlima wetu ni aibu sana, hivi umeshaona wapi mfanyabiashara anajitangaza kibiashara akajishusha , Watanzania wachache shuleni mlienda kujaza madarasa tu hakuna mlichoengeza,

So unajitangaza kimataifa kwa kusema nchi yenu kuna mgomo airport? sasa hao unaowatangazia watakujaje ikiwa ndege haziwezi kutua??
 
Back
Top Bottom