Kenya: Wasiojulikana wazidi kuua, miili ya wawili yapatikana, idadi ya waliouawa wafikia 29

Kenya: Wasiojulikana wazidi kuua, miili ya wawili yapatikana, idadi ya waliouawa wafikia 29

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Miili miwili kati ya mitatu ya watu iliyopatikana juzi Ijumaa ilikutwa ikielea katika Mto Yala Nchini Kenya.

Mmoja ulikutwa umetobolewa macho huku ukiwa umekunjwa na kitambaa katika mdomo, mwingine ukiwa umezungushiwa nailoni juu ya kichwa na kufunika uso.

OCPD Charles Chacha wa Yala amethibitisha kupatikana kwa miili hiyo ambayo ilikuwa imekwama kwemue miamba ndani yam to maeneo ya Kina.

Miili hiyo iligunduliwa na mfugaji ambaye alikuwa amepela mifugo yake kunywa maji katika mto huo.
===

Two of the three bodies spotted floating on River Yala on Friday have been retrieved as one of the bodies was washed away by the raging waters of River Yala overnight.

One of the bodies was blind folded with a piece of cloth and its mouth gagged, with the second having a polythene bag wrapped over the head covering the face. The bodies were discovered on Friday evening by a herder who had gone to water a flock of livestock at the river.

The discovery brings to 29 the total number of bodies discovered in the river since October last year. So far, 12 families have already identified their kins from Yala sub-county morgue and buried them.

Oyaro had been missing since August 28 when he was traveling from Marsabit to Nairobi aboard a KWS vehicle.

DNA results last Thursday confirmed Oyaro’s body, after matching samples collected from his mother earlier this month.

Source: Citizen Digital
 
Miili miwili kati ya mitatu ya watu iliyopatikana juzi Ijumaa ilikutwa ikielea katika Mto Yala Nchini Kenya.

Mmoja ulikutwa umetobolewa macho huku ukiwa umekunjwa na kitambaa katika mdomo, mwingine ukiwa umezungushiwa nailoni juu ya kichwa na kufunika uso.

OCPD Charles Chacha wa Yala amethibitisha kupatikana kwa miili hiyo ambayo ilikuwa imekwama kwemue miamba ndani yam to maeneo ya Kina.

Miili hiyo iligunduliwa na mfugaji ambaye alikuwa amepela mifugo yake kunywa maji katika mto huo.

Kwa takwimu hizo za watu hao sasa imefikia jumla ya miili 29 tangu Oktoba, mwaka jana, huku watu waliohusika katika mauaji hayo wakiwa hawajulikani.

Mpaka sasa familia 12 zimeshahusika katika kutambua miili ya watu wao ikawachukua na kuwazika.

Source: Citizen Digital
 
Hii ikitokea Tanzania ndiyo inakua "Breaking News" lakini kwa Kenya ni jambo la kawaida, wamezoea kuuana na kuchinjana hao.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom