Kenya wazindua treni za kisasa

Kenya wazindua treni za kisasa

1484331970469.jpg

Riakanau has arisen like the legendary phoenix![emoji3]
Dhuks
 
Mi sioni ukisasa wowote wa train tajwa. Inaonekana kuwa na uwezo mdogo kuliko trains zetu, tuna injini zenye muonekano wa kizamani lakn zipo more powerful.
Injini ya 8900, na 8800 achana 8700 na 8600 zinaweza vuta mpaka mabehewa 30 tofauti na hizo za Kenya unazoziita za kisasa. Kichwa cha hizo trains naweza kufanisha na kiberenge chenye winchi ndogo kinachoita HDT cha hapa kwetu TRL
 
Habari ina mapungufu makubwa kwa tukio kubwa kama hilo kama ni la ukweli.

Faiza, nikiangalia loco hizo za Wachina zunanikumbusha magari ya Waingereza aina ya Landrover sura ni ile ile miaka nenda rudi.

Hizi loco zilizo letwa Kenya zinafanana kabisa na Locomotive za Tazara aina DFH2 za miaka ya 70/80 tofauti ni kwenye transmission, za Tazara ni hydraulic (Bo-Bo confi) za Kenya transmission ni Electric(Co-Co) na zina tofauti kwenye HorsePower, Wakenya wanasema kila Mainline Loco ina HP 5/6K naona hiyo si kweli wangesema 3K per Loc hiyo sawa, wakizifunga loco mbili in MU mode ndiyo wanaweza ku attain 6K HP.

Bado na insist kwamba kwa nia nzuri tu kwamba Wakenya wanunue baadhi ya Mainline D.Es Locos kutoka Merikani, Canada au Ujerumani (General Electric au Bombadier) hizo ni loco zenye uhakaki/aminika na hazitawasumbua, tumieni za kichina kubeba abiria na shunting.
 
ETHIOPIA WALIPATA View attachment 458940
KENYA WAKAPATA
View attachment 458943
NIGERIA WAKAPATA
train%2Bin%2Bnigeria.jpg

ANGOLA WAKAPATA
0,b95b3417-c06b-4cf6-b009-5d238a1980d7--r--NjQweDM0Mw==.jpg

WAPUMBAVU BONGOLALA WANASUBIRI ETI WATAPATA
Bullet-Train.jpg

JAMANI WATANZANIA KUMBE MNA AKILI NDOGO KIASI HIKI??????? KAMA ETHIOPIA NA KENYA, NCHI ZENYE ECONOMY KUBWA ZAIDI AFRIKA MASHARIKI NA KATI ZIMEOATA TRENI ZA AINA HIZI KUTOKA UCHINA, NANYI MNASUBURI TRNI ZIPI?????😀😀😀😀😀MSITUFANYE WAKENYA TUCHEKE TUVUNJE MBAVU!!!! ENDELEENI KUZIITA SCANIA ILA MKUMBUKE THAT KENYA IS THE COUNTRY THAT WILL ALWAYS BE AHEAD OF YOU..LIKE IT OR NOT...
Ni heli ukakosa kuliko ukajisifu unacho kwa train za aina hii,kwa muonekano wa train hizi utakuwa zinatengenezwa hapo hapo Kenya hazina utofauti na matatu
 
DEFORESTATION IS HAPPENING IN DANGANYIKA. FIREWOOD TO FIRE THEIR SMOKY TRAINS.
View attachment 459639
MWANZA HERE WE COME.....
View attachment 459640
View attachment 459641

Unachekesha sana, hivi unajua hizo DE zilihundwa nchi gani na zimefanya kazi Tanzania bila matatizo kwa miaka mingapi? unaweza kweli ukaliganisha western DEs Locos za TRL, Tazara na hizo mlizo pewa na Wachina ambazo azitumiki hata nchini mwao, hapa naona unaponda D.Es locos za kwetu for smoking! Mbona hilo.ni tatizo dogo linalo rekebishika kwa kufanya adjustment for fuel to air ratio au fuel injectors zinavyo atomise mafuta unazirekebisha ili ziteme mafuta kimvuke ili mwisho wa siku u attain a complete combustion na kumaliza tatizo la kufuka moshi.

Having said that, sasa si mnatucheka sisi - subirini hizo Loco za Kichina zianze kufanya kazi, zipandishe vilima vya lift Valley kama amtalia na kusaga meno yaani kila siku mtakuwa ni spana mkononi muda mwingi mtaupoteza kubadirisha badirisha kila siku tractions motors zilizohungua - changing them like bolts in a machine - Loco za Wachina zikianza ukorofi ndio mtakumbuka ushauri wa Watanzania ambao mnawachukulia kama mambumbumbu hawajui kitu, tukutane hapa baada ya mwezi mmoja wa majaribio wa loco za kichina halafu mje mtupatie feedback.
 
Faiza, nikiangalia loco hizo za Wachina zunanikumbusha magari ya Waingereza aina ya Landrover sura ni ile ile miaka nenda rudi.

Hizi loco zilizo letwa Kenya zinafanana kabisa na Locomotive za Tazara aina DFH2 za miaka ya 70/80 tofauti ni kwenye transmission, za Tazara ni hydraulic (Bo-Bo confi) za Kenya transmission ni Electric(Co-Co) na zina tofauti kwenye HorsePower, Wakenya wanasema kila Mainline Loco ina HP 5/6K naona hiyo si kweli wangesema 3K per Loc hiyo sawa, wakizifunga loco mbili in MU mode ndiyo wanaweza ku attain 6K HP.

Bado na insist kwamba kwa nia nzuri tu kwamba Wakenya wanunue baadhi ya Mainline D.Es Locos kutoka Merikani, Canada au Ujerumani (General Electric au Bombadier) hizo ni loco zenye uhakaki/aminika na hazitawasumbua, tumieni za kichina kubeba abiria na shunting.

Ma sha Allah, umefafanuwa kitaalam kabisa na kwa wepesi sana hata mimi nimeelewa.

Ahsante.

Nyie ndiyo wana JF mnaostahiki "title" ya great thinkers.

Hapa unanikumbusha enzi za JF katika ubora wake.
 
tulienda shopping kule uchina tukitafuta diesel enging ya power rating ya 2000... wakatuzungusha kampuni zote za kutengeneza hayo madude...... bei na ufundi ulioturidhisha kulingana na bajeti ilikua ni hizo unazoziona hapo za kubeba mizigo..... walikubali tute ma engeneer wetu wakahakikishe zinazotengenezwa ni mpya wala si 'second hand' ... alafu kumbuka tunataka vichwa zaidi ya hamsini, tano za abiria na 54 za mizigo.... kisha badae tukiweka stima tutataka zengine.......





nyinyi ambao hamna hata reli mtulie kidogo, sije mkaja tukawacheka hapahapa

walipokua window shopping
View attachment 459595

mojawepo ya abiria inafanyiwa final touches uchina

View attachment 459596
Vichwa 55 vya treni za abiria kwa reli ipi?? Hiyo single track??

Kwa kweli Jubilee wamewaweza.. huo utapeli waliowafanyia..
 
Hio kwa ki mombo inaitwa common sence.... Unajua hizo reli zote za ghana,Naigeria,Ethiopia zimejengwa na loan za kichina.... Tanzania imeshatayarishiwa loan na benki ileile iliowapatia hizo nchi zengine Tanzania gets $7.6 bln loan from China's Exim Bank for railway | Reuters
Kumbuka hapo, ukitaka treni nzuri zaidi inamaanisha loni kubwa zaidi.....Kulingana na hizo pesa mlizopewa na kilometer zitakazojengwa , ni pesa kidogo sana zitabaki za kununua hizo treni....... kwahivyo kilalaheri ukingojea bullet train
Huhitaji kuwa na degree kujua unachoandika hapa ndio mwisho wako wa kufikiri
 
Hakuna popote nilipo sema nahitaji/tegemea tununue train za aina fulan... Soma maelezo yangu yako very clear na yanajieleza hata mtoto mdogo ataelewa ni wapi napingana na wewe
Achana naye ndugu...huyo uwezo wake wa kuelewa ndipo ulipoishia
 
Ww ni chizi labda, baba, yako na mama yako wameshindwa, kukulisaha
Tanzani hatuna njaa mjinga.
Tanzania sio kenya

MNA NJAA ,SERIKALI YAKO YA KIKOMUNISTI CHINI YA DIKTETA WENU HUYO INALIFICHA SWALA HILI LAKINI DUNIA NZIMA YAJUA MNA NJAA KALI HADI MNAWALA VIWAVI!....😀😀😀
 
Back
Top Bottom