Tim Choice
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 2,088
- 1,261
HIYO NI TRENI YA MIZIGO.........YOTE HUWA NA MUONEKANO KAMA HUO...........TAZAMA MLIVYO WAPUMBAVU MIDANGANYIKA!...mtatia aibu kwel kweli, mkajinyonge!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vichwa 55 vya treni za abiria kwa reli ipi?? Hiyo single track??
Kwa kweli Jubilee wamewaweza.. huo utapeli waliowafanyia..
Unachekesha sana, hivi unajua hizo DE zilihundwa nchi gani na zimefanya kazi Tanzania bila matatizo kwa miaka mingapi? unaweza kweli ukaliganisha western DEs Locos za TRL, Tazara na hizo mlizo pewa na Wachina ambazo azitumiki hata nchini mwao, hapa naona unaponda D.Es locos za kwetu for smoking! Mbona hilo.ni tatizo dogo linalo rekebishika kwa kufanya adjustment for fuel to air ratio au fuel injectors zinavyo atomise mafuta unazirekebisha ili ziteme mafuta kimvuke ili mwisho wa siku u attain a complete combustion na kumaliza tatizo la kufuka moshi.
Having said that, sasa si mnatucheka sisi - subirini hizo Loco za Kichina zianze kufanya kazi, zipandishe vilima vya lift Valley kama amtalia na kusaga meno yaani kila siku mtakuwa ni spana mkononi muda mwingi mtaupoteza kubadirisha badirisha kila siku tractions motors zilizohungua - changing them like bolts in a machine - Loco za Wachina zikianza ukorofi ndio mtakumbuka ushauri wa Watanzania ambao mnawachukulia kama mambumbumbu hawajui kitu, tukutane hapa baada ya mwezi mmoja wa majaribio wa loco za kichina halafu mje mtupatie feedback.
Hivi we unaijua dunia au ? Unaandika tu ? Au bado hujapona mtindio wa ubongoMNA NJAA ,SERIKALI YAKO YA KIKOMUNISTI CHINI YA DIKTETA WENU HUYO INALIFICHA SWALA HILI LAKINI DUNIA NZIMA YAJUA MNA NJAA KALI HADI MNAWALA VIWAVI!....😀😀😀
ahahahaUzuri hazijachoka kama hizi za Tazara ambazo zinatumia kuni
View attachment 458955
View attachment 458956
Labda ni 114 scania au p420mbona hiyo treni imekaa kama scania
Wewe bibi utakuwa mchawi kama sio mwanga.Habari ina mapungufu makubwa kwa tukio kubwa kama hilo kama ni la ukweli.
Usitudanganye nani ka kwambia tren za mizigo zina sura mbaya.... any relationship btn the look and type of cargo/passengers. Nenda Germany na Sweden ndo utaona nini maana ya matreni. huku kote tunajaribu tu.not impresive interms of speed, or in terms of design??????
Zile treni sita zilizo ingia pale Mombasa , hakuna hata moja ni ya abiria.... zile ni za mizigo na za kuunganisha mabweha ya treni(Shunting)..... Duniani treni karibu zote za mizigo hua hazina sura nzuri.. Angalia freight train za marekani vile ziko ugly....Zengina kama za spain,france..zimefanana kama hizo zetu
View attachment 459046
Halafu nyie mi wana ccm msipende kubeba mawazo yetu wa tz wote,
Jamani Wakenya huku kwetu sehemu kibao zina njaa kali ila rais amewakataza wakuu wa mikoa na wilaya kutangaza kuwa wana njaa, pia kasema serikali haitatoa msaada wa chakula kwa yeyote, maana serikali sio iliyoleta njaa na anasema ni propaganda za wanasiasa na matajiri wamenunua vyombo vya habari ili kumkosoa...
Ila ukweli Tz kuna ukame na sehem kibao wana njaa kali ila viongozi wanamuogopa Rais ambaye mkali kama pilipili..
No freedom of speech hapa Tz , wasijisifu chochote ccm , hata mabehewa waliyonunua badala ya mapya waliuziwa ya zamani tena mabovu na aliyehusika saivi ni waziri wa sheria , hajagilushwa!
Halafu nyie mi wana ccm msipende kubeba mawazo yetu wa tz wote,
Jamani Wakenya huku kwetu sehemu kibao zina njaa kali ila rais amewakataza wakuu wa mikoa na wilaya kutangaza kuwa wana njaa, pia kasema serikali haitatoa msaada wa chakula kwa yeyote, maana serikali sio iliyoleta njaa na anasema ni propaganda za wanasiasa na matajiri wamenunua vyombo vya habari ili kumkosoa...
Ila ukweli Tz kuna ukame na sehem kibao wana njaa kali ila viongozi wanamuogopa Rais ambaye mkali kama pilipili..
No freedom of speech hapa Tz , wasijisifu chochote ccm , hata mabehewa waliyonunua badala ya mapya waliuziwa ya zamani tena mabovu na aliyehusika saivi ni waziri wa sheria , hajagilushwa!
hivi vichwa vya treni,pamoja na kwamba vimetengenezwa zaidi ya miaka 12 iliyopita nia ni kukimbizana na uchaguzi unaokuja,Raila asichukue nchitulienda shopping kule uchina tukitafuta diesel enging ya power rating ya 2000... wakatuzungusha kampuni zote za kutengeneza hayo madude...... bei na ufundi ulioturidhisha kulingana na bajeti ilikua ni hizo unazoziona hapo za kubeba mizigo..... walikubali tute ma engeneer wetu wakahakikishe zinazotengenezwa ni mpya wala si 'second hand' ... alafu kumbuka tunataka vichwa zaidi ya hamsini, tano za abiria na 54 za mizigo.... kisha badae tukiweka stima tutataka zengine.......
nyinyi ambao hamna hata reli mtulie kidogo, sije mkaja tukawacheka hapahapa
walipokua window shopping
View attachment 459595
fanyiwa final touches uchina
View attachment 459596
Umesahau mafuta ya kina vishimo kwenye mashavuChina wanasaidia kwenye miundo mbinu kama reli,madaraja,majengo,barabara,
USA yeye anasaidia vyandarua,ARVs ,chanjo,condoms