Kenya wazindua treni za kisasa

Kenya wazindua treni za kisasa

Unachekesha sana, hivi unajua hizo DE zilihundwa nchi gani na zimefanya kazi Tanzania bila matatizo kwa miaka mingapi? unaweza kweli ukaliganisha western DEs Locos za TRL, Tazara na hizo mlizo pewa na Wachina ambazo azitumiki hata nchini mwao, hapa naona unaponda D.Es locos za kwetu for smoking! Mbona hilo.ni tatizo dogo linalo rekebishika kwa kufanya adjustment for fuel to air ratio au fuel injectors zinavyo atomise mafuta unazirekebisha ili ziteme mafuta kimvuke ili mwisho wa siku u attain a complete combustion na kumaliza tatizo la kufuka moshi.

Having said that, sasa si mnatucheka sisi - subirini hizo Loco za Kichina zianze kufanya kazi, zipandishe vilima vya lift Valley kama amtalia na kusaga meno yaani kila siku mtakuwa ni spana mkononi muda mwingi mtaupoteza kubadirisha badirisha kila siku tractions motors zilizohungua - changing them like bolts in a machine - Loco za Wachina zikianza ukorofi ndio mtakumbuka ushauri wa Watanzania ambao mnawachukulia kama mambumbumbu hawajui kitu, tukutane hapa baada ya mwezi mmoja wa majaribio wa loco za kichina halafu mje mtupatie feedback.


RIFT VALLEY!..sio LIFT VALLEY, halafu ndio maana kumejengwa TUNNELS PAMOJA NA SUPER HIGH BRIDGES KILA MAHALI kwa hela nyingi mno.....kuondoa gradient effect, so basically TAMBARARE KOTEKOTE.
Ushauri wako kawapelekee CCM.
 
MNA NJAA ,SERIKALI YAKO YA KIKOMUNISTI CHINI YA DIKTETA WENU HUYO INALIFICHA SWALA HILI LAKINI DUNIA NZIMA YAJUA MNA NJAA KALI HADI MNAWALA VIWAVI!....😀😀😀
Hivi we unaijua dunia au ? Unaandika tu ? Au bado hujapona mtindio wa ubongo
 
Hizo za kichina zitadumu kweli maana wao uangalia kupata hela tu sio kuzalisha vitu bora wanavipamba Kwa nje uonekana vizuri tu kukuvutia
 
tatizo humu wote mnajadili kuhusu muonekano wa hzo tren but you forget to discus about their qualities, awa wachina ni wajanja wajanja tu, WAKENYA mmeibiwa na WATANZANIA siku si nying tunaenda kuibiwa pia,
 
not impresive interms of speed, or in terms of design??????

Zile treni sita zilizo ingia pale Mombasa , hakuna hata moja ni ya abiria.... zile ni za mizigo na za kuunganisha mabweha ya treni(Shunting)..... Duniani treni karibu zote za mizigo hua hazina sura nzuri.. Angalia freight train za marekani vile ziko ugly....Zengina kama za spain,france..zimefanana kama hizo zetu

View attachment 459046
Usitudanganye nani ka kwambia tren za mizigo zina sura mbaya.... any relationship btn the look and type of cargo/passengers. Nenda Germany na Sweden ndo utaona nini maana ya matreni. huku kote tunajaribu tu.
 
Halafu nyie mi wana ccm msipende kubeba mawazo yetu wa tz wote,

Jamani Wakenya huku kwetu sehemu kibao zina njaa kali ila rais amewakataza wakuu wa mikoa na wilaya kutangaza kuwa wana njaa, pia kasema serikali haitatoa msaada wa chakula kwa yeyote, maana serikali sio iliyoleta njaa na anasema ni propaganda za wanasiasa na matajiri wamenunua vyombo vya habari ili kumkosoa...

Ila ukweli Tz kuna ukame na sehem kibao wana njaa kali ila viongozi wanamuogopa Rais ambaye mkali kama pilipili..

No freedom of speech hapa Tz , wasijisifu chochote ccm , hata mabehewa waliyonunua badala ya mapya waliuziwa ya zamani tena mabovu na aliyehusika saivi ni waziri wa sheria , hajagilushwa!
Halafu nyie mi wana ccm msipende kubeba mawazo yetu wa tz wote,

Jamani Wakenya huku kwetu sehemu kibao zina njaa kali ila rais amewakataza wakuu wa mikoa na wilaya kutangaza kuwa wana njaa, pia kasema serikali haitatoa msaada wa chakula kwa yeyote, maana serikali sio iliyoleta njaa na anasema ni propaganda za wanasiasa na matajiri wamenunua vyombo vya habari ili kumkosoa...

Ila ukweli Tz kuna ukame na sehem kibao wana njaa kali ila viongozi wanamuogopa Rais ambaye mkali kama pilipili..

No freedom of speech hapa Tz , wasijisifu chochote ccm , hata mabehewa waliyonunua badala ya mapya waliuziwa ya zamani tena mabovu na aliyehusika saivi ni waziri wa sheria , hajagilushwa!

Mimi sijakuelewa hiyo aina ya akili uliyonayo......
sasa unavyowaambia wakenya kuwa Tanzania kuna njaa, kuna siku wakenya waliwahi kuleta Tanzania msaada wowote kwa ajili ya kunusuru baa la njaa.

Halafu nani kakuambia kuwa muda au msimu huo huo mvua zikichelewa miezi hiyo hiyo kunakuwa na njaa..... kwa taarifa yako mvua zisiponyesha mfano mwezi desemba madhara yake huonekana kuanzia miezi mitano, sita na kuendelea. Hivyo kuchelewa kwa mvua za vuli miezi ya oktoba, novemba na desemba (mwaka jana 2016) madhara yake tutayaona mwezi Mei, Juni, Julai (mwaka huu 2017) na kuendelea... Hiyo njaa mnayoipigia kelele kipindi hiki ni mwelekeo wa kuathirika kiakili (psychological effect created by fear of unknown/unexisted/unidentified parameters). Maana utasemaje kuna njaa wakati kipindi hiki si cha mavuno?? Nimetoka mikoa ya Songwe, Mbeya, Katavi, Rukwa, Njombe na Iringa (The food basket) hakuna wanakovuna..... maeneo yote haya wakulima wako kwenye palizi. Huo ukame umeathirije mavuno au upatikanaji wa chakula kwa sasa??? Msipende kuaminishwa na kuchukuliwa huku na huku kama wimbi na watu wasio na nia njema kwa taifa letu.

Siku zote uwe unafikiri kabla ya kutamka a kuandika..
 
tulienda shopping kule uchina tukitafuta diesel enging ya power rating ya 2000... wakatuzungusha kampuni zote za kutengeneza hayo madude...... bei na ufundi ulioturidhisha kulingana na bajeti ilikua ni hizo unazoziona hapo za kubeba mizigo..... walikubali tute ma engeneer wetu wakahakikishe zinazotengenezwa ni mpya wala si 'second hand' ... alafu kumbuka tunataka vichwa zaidi ya hamsini, tano za abiria na 54 za mizigo.... kisha badae tukiweka stima tutataka zengine.......





nyinyi ambao hamna hata reli mtulie kidogo, sije mkaja tukawacheka hapahapa

walipokua window shopping
View attachment 459595
fanyiwa final touches uchina

View attachment 459596
hivi vichwa vya treni,pamoja na kwamba vimetengenezwa zaidi ya miaka 12 iliyopita nia ni kukimbizana na uchaguzi unaokuja,Raila asichukue nchi
 
China wanasaidia kwenye miundo mbinu kama reli,madaraja,majengo,barabara,

USA yeye anasaidia vyandarua,ARVs ,chanjo,condoms
Umesahau mafuta ya kina vishimo kwenye mashavu
 
Back
Top Bottom