kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
Kenya ina vijana wengi sana ambao wameikimbia nchi yao, na wengi wao ni wale wenye elimu na akili nyingi. Hawa waliobaki Kenya hali zao za kiuchumi sio nzuri na hawajui kwanini hali zao kiuchumi sio nzuri hata baada ya kuandika Katiba mpya, kuwa na tume huru ya uchaguzi na hata kubadilisha vyama na watawala.
Wakenya wanagoma kila siku kudai kupewa maziwa mengi kutoka kwenye ng'ombe mgonjwa na aliyekosa malisho ya kutoka. Wanagoma ku address the wrong challenge to their problems.
Wakenya hawajui kuwa chanzo cha shida yao ni nchi yao kukaliwa na kunyonywa na mabeberu. Badala ya kugoma kudai mgawanyo upya wa ardhi yao na wageni kuacha kuhodhi rasilimali zao wanamdai Ruto awape pesa. Ruto atatoa wapi pesa za kuwapa? Wakenya ni vibarua kwenye taifa lao.
Hali hii ndiyo akina Heche wanataka iwe hivi hata Tanzania, lakini wanashindwa kwakuwa vijana wengi Tanzania wanavyo vingi sana vya kupoteza. Hata bodaboda anaweza kujenga nyumba.
View: https://www.youtube.com/live/rgIqwqIOh74?si=GNEC2ge31-sHIaJa