Kenya wenye akili wako nje ya nchi yao, waliobakia wanaiharibu nchi yao

Kenya wenye akili wako nje ya nchi yao, waliobakia wanaiharibu nchi yao

Wewe na hao jenzii nani mwenye akili zaidi? Bajeti imepitishwa Wala hujataka hata kuisoma halafu unakuja kuwasema jenzii hapa kereng'ende mmoja wewe
Mbunge wangu alikuwepo bungeni aliniwakilisha ipasavyo. Hujui maana na kazi za mihimili
 
porojo hizo. Mishahara ya wanajeshi, sare na vitendea kazi vyao vinatoka wapi kama fedha zingekuwa zinaliwa kwa kiasi hicho unataka kuwaaminisha vijana? mishahara ya watumishi wa umma, mikopo ya elimu, madarasa, madawati, zahanati, barabara, usambazaji wa umeme na maji, ujenzi wa reli, mkonga wa taifa, kuhamia dodoma, kununua ndege, kugharamia chaguzi, afya, kujenga schemes za umwagiliaji, kununua mitambo ya kuchoronga kwa wachimbaji wadogo, ruzuku za pembejeo, kupanua miundombinu ya bandari, nk nk vingewezekana vipi kama hela zooote zinaliwa na CCM. Tunawadanganya vijana wetu kwa manufaa yenu.

Propaganda za kipumbavu kabisa hizi. Mimi nakubali kuwepo vyama viwili vyenye nguvu sawa lakini tufanye hivyo kwa matakwa yetu wenyewe na kwasababu zetu wenyewe zenye manufaa kwetu wenyewe bila shinikizo za nje za akina Amsterdams
Wewe ni hewa kweli. 🤣🤣🤣 kodi wanazotoza nk zile wanasema matumizi ya kawaida kwenye bajet ni hayo umesema hapo juu.
 
Back
Top Bottom