Most South Africans ambao nimekutana nao kwa forums hua wako hivyo, they just assume that they have the best of everything. Last week kwenye forum Nyengine nilipatan na mmoja alikua akijisifu vile rais wao amealikwa kwa mkutano wa G7. AKawa anasema ni vile sijui wanaheshimika na wao ndo kiongozi wa Africa.,. Nikamwambia upuzi mtupu, Africa Haina kiongozi... Nikamwambia Africa uongozi unaishia at the sub-regional level, hakuna nchi ambayo ni outright leader of the continent. Yani Southern Africa iko na kiongozi, North Africa, West Africa, East Africa, Horn of Africa.... zote ziko na nchi moja au mbili ambazo zinaongoza wenzake.....Na mara kwa mara viongozi wa hizo sub-regional levels hualikwa kwa G7 kuhudhuria mkutano kulingana na issue kubwa inayokumba Dunia mwaka huo... Mkutano wa mwaka huu issue kubwa ilikua covid, South Africa ndo iko na most covid cases on the continent kwahivyo wao ndo most relevant kualikwa kujadili mambo ya covid na vaccines.... Sisi Kenya tulipoalikwa kwa G7 meeting, issue kubwa ilikua maritime security, wakati huo ndo tulikua tunajenga Lamu port ambayo ndo itakua deepest port in Africa, at the same time tuko na maritime dispute na Somalia na pia tulikua tunahost the global conference on blue economy (ambayo ni uchumi wa bahari) the first time such a conference was bieng held in Africa... Kwahivyo at that time sisi ndo tulikua the most relevant country from Africa kujadili kuhusu usalama na uchukuzi/uchumi wa bahari...