joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hahahaha, mbona mumewekwa katika orodha ya nchi hatari zaidi kuishi duniani kutokana na insecurity hasa hasa terror attacks?. Vipi kuhusu hayo mengine?Ukiangalia ripoti wanasema terrorist attack tuko ready kupambana nayo na ni kweli. Tuna experience ya kupasua vichwa vya Shabab na ndio maana hawaji Nairobi sana kama zamani. Nchi chache Afrika zina experience kama ya Kenya ya kupasua vichwa vya terrorists.
Ujinga wa LDC na kukosa utu mnachinja albinos sababu nyie sio binadamu.
Hahahaha, hayo yote ni kutokana na juhudi, hekima na busara zetu ndio iliyotufanya tuishi bila vita, bila ukabila, bila kiangazi. Hivi vitu havikushuka toka mbinguni, tuliwekeza pesa, muda na nguvu nyingi kuhakikisha tunavimaliza, wakati sisi tunawekeza pesa ktk kupambana na ukabila, ninyi mlikua mnajenga uchumi, mlifanikiwa kujenga uchumi juu ya msingi wa ukabila, rushwa na vita, kwahiyo tulieni sasa hivi ni muda wetu wa kujenga uchumi, na ninyi pambaneni na ukabila, kiangazi na vita.Kitu ambacho hii ripoti inaonyesha ni kwamba kama Tanzania wangekua a shida zile zinazoikumba Kenya, Wangekua hali mbaya zaidi.... Yani bila vita, bila Ukabila, bila kiangazi, jamaa bado wako LDC miaka hii yote!!!!
Hapa tunaongelea majanga ya kenya. Mbona unahamisha mada!?Ujinga wa LDC na kukosa utu mnachinja albinos sababu nyie sio binadamu.
Kwani ni sisi tumeandika hiyo ripoti? Badala ya kulialia kama mtoto, nenda kawaambie waandishi wa hio ripoti kwamba hukubaliani nao.Mpambane Kwanza na njaaa ndio mkuje hapa, au njaa enyewe sio majanga??
Hii ripoti inahusu nchi ambazo zina uwezo wa kupambana na majanga. Wamesema Kenya ni ya tatu Afrika, sijui shida yako ni gani? Ni kwamba hukubaliani na waandishi wa ripoti au ni chuki yako kwa Kenya imekuzuia kuikubali ripoti?Hahahaha, mbona mumewekwa katika orodha ya nchi hatari zaidi kuishi duniani kutokana na insecurity hasa hasa terror attacks?. Vipi kuhusu hayo mengine?
Unajua maana ta kukodi kweli wewe,
Tungekuwa tunakodi basi ingekuwa kila msimu wa kilimo tunalipia [emoji23][emoji23][emoji23]
Idiot, umeishiwa argument naona.
Wacha kuruka ruka wewe...ukwel ni kwamba mna lease ardhi kutoka kwa ccm...utailipiaje msimu wa kilimo wakati wewe umeikodi kw miaka kadhaa...we si mjinga bana
We ume lease ardhi bana...miaka yako ikiisha ni u renew au upokonywe ardhi...
Mngelianza kulipa la wachina kama unajua hio ni dawaDawa ya deni ni kulipa
Endelea kuruka ruka hapo gorokocho na story za vijiweni ili mjipe moyo [emoji23][emoji23][emoji23]
Mngelianza kulipa la wachina kama unajua hio ni dawa
Unagoma sasa km hudaiwi na Mchina???Kwn wachina wameenda mahakamani kusema hawalipwi...hyo ni yenu...mtashtakiwa sana..
Ukiangalia ripoti wanasema terrorist attack tuko ready kupambana nayo na ni kweli. Tuna experience ya kupasua vichwa vya Shabab na ndio maana hawaji Nairobi sana kama zamani. Nchi chache Afrika zina experience kama ya Kenya ya kupasua vichwa vya terrorists.
Hiyo ni zamani sana dada yangu, tumejifunza mengi. Hiyo ni 2013 lakini tumesonga mbele na kwa kawaida mwafunzi kabla apate mia fil mia kwenye hisabati lazima aanze kwa kuanguka mtihani.na kuingia na vifaru kwenye Mall π π
Unagoma sasa km hudaiwi na Mchina???
Mchina hawez kwenda mahakamani anajua ataku exploit vp den lirudi we tulia upapaswe na mchina.
Hiyo ni zamani sana dada yangu, tumejifunza mengi. Hiyo ni 2013 lakini tumesonga mbele na kwa kawaida mwafunzi kabla apate mia fil mia kwenye hisabati lazima aanze kwa kuanguka mtihani.