Kenya yaangukia pua UN, yashindwa tena kukubalika katika anga za Kimataifa

Kenya yaangukia pua UN, yashindwa tena kukubalika katika anga za Kimataifa

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Wakati Tanzania ilipoamua kujenga heshima yake duniani kwa kupinga dhuluma duniani kwa kuzisaidia nchi zote zilizokua zikikandamizwa na wakoloni, Kenya ilijitenga na kuungana na wakoloni kwa kisingizio cha kujenga uchumi wake na kuungana na wakoloni katika kuzikandamiza nchi za Africa.

Habari za chini chini zinasikika zikisema kwamba, Djibouti imepata uungwaji mkono mkubwa toka Afrika kuliko Kenya, kati ya kura 78 ilizopata Djibouti 29 zimetoka Africa, hasa kusini mwa Africa, kura ambazo nusu yake zingetosha kabisa kuisaidia Kenya kufikisha idadi ya kura 128 inayotakiwa ili kushindwa. Jinamilizi la usaliti linazidi kuiandama Kenya.

MY TAKE: Kwa mwendo huu, Kenya kuna uwezekano mkubwa kushindwa na Somalia katika mzozo wa kugombania mpaka wa baharini.

=======

- Kenya was fronted by the African Union (AU) for its role in enhancing peace in the Eastern Africa region but Djibouti never gave up

- The second round of voting to determine the third non-permanent member of the United Nations Security Council for 2021 would take place today, Thursday, June 18

- If Nairobi secures the required votes in the second round, it would be the third time it would be serving at the UN’s top organ


Kenya has failed to clinch the non-permanent seat at the prestigious UN Security Council after garnering 113 votes against Djibouti's 78, falling short of the required threshold of votes (128).

The second round of voting to determine the third non-permanent member of the United Nations Security Council for 2021 would take place today, Thursday, June 18.

Although Kenya beat the Horn of African nation, the rules of the elections demand at least two-thirds of the eligible UN member states voting to be declared winner.

The election which started at 4pm on Wednesday, June 17, saw 192 countries participate.

Kenya was fronted by the African Union (AU) for its role in enhancing peace in the Eastern African region.

The United Nations Security Council is one of the six principal organs of the United Nations, charged with ensuring international peace and security.

President Uhuru Kenyatta had earlier before the voting made a final pitch saying a vote for Kenya was a vote for global peace.

"A vote for Kenya is a vote for peace. A vote for Kenya is a vote for global solidarity. A vote for Kenya is a vote for multilateralism. Kenya's story is one that believes and trusts that together we are stronger. One that believes that through democracy, through respect for human life and through unity, more can be achieved than individually.

We want you to believe in us. We want you to trust in us. We want you to see our track record over the years. Stand with us as Kenya stands with you," Uhuru lobbied.
If Nairobi secures the required votes in the second round, it would be the third time it would be serving at the UN’s top organ.

The five permanent members of the council are Russia, China, UK, US and France.

Source: Kenya fails to clinch non-permanent seat at the prestigious UN security council
 
Sijui kwanini nchi ya Kenya huwa inakukosesha usingizi, hadi dish limeanza kuyumba, naona unanukuu comment yako mwenyewe alafu unatanguliza kwa kujiita mkuu. [emoji1] Sasa Kenya imeangukiaje pua na ikakosa kukubalika wakati ilibakia tu kura 15 ili kura za Kenya zifikie 2/3 ya kura zote zilizopigwa? Kenya ilipata kura 113 Djibouti 78, kura zote zilizopigwa, 192. Ilihitajika kura 128 ili mshindi atangazwe kwenye raundi ya kwanza. Alafu hizo habari za 'chini chini' unazojitungia ni za kipuuzi. Unasema eti Djibouti walipata kura 29 kutoka kwa nchi za hapa Afrika ila hukumbuki kwamba hapo awali Kenya ilishinda Djibouti 37-13 kwenye kura za AU zilizopigwa na mataifa 51 ya Afrika.
 
In your face joto la jiwe
FB_IMG_1592502636968.jpg
FB_IMG_1592502632687.jpg
 
Back
Top Bottom