Kenya yaangukia pua UN, yashindwa tena kukubalika katika anga za Kimataifa

Kenya yaangukia pua UN, yashindwa tena kukubalika katika anga za Kimataifa

Level yenu ni Djibouti na Somalia, wasomali wametangulia kule Uholanzi wanawasubiri ICJ.
Huu ni mchezo wa chess tunaocheza, Kenya kutafuta UNSC chair member haina lolote kuhusu sijui peace wala nini, President wa ICJ ni msomali, tumejaribu kumwondoa tukashindwa sasa tulikua tunatafuta njia ya kumpiga checkmate huku kwa UNSC, sahii hata tukijiskia tunaweza kukataa kwenda kusikiza hio kesi kule ICJ manake vikishindikana huko maamuzi yanaletwa UNSC ndo wako na final say kama watakubali au watakataa uamuzi wa ICJ.


1592510426562.png

Somali judge is elected President of International Court of Justice | Africanews




ICJ ni kama tu vile ICC, baada ya Kenya kushinda kule ICC, fatu bensuda alipeleka malalamishi UNSC eti rais kenyatta na makamu wake wapewe sanctions sababu hatuku cooperate na ICC kutoa witnesses, sisi tukaambia akina China na USA wasimsikize huyo mwanmke. Mwazo tukiwa pale ndani ya UNSC huyo jaji wa ICJ tunaweza tuka recommend atolewe kabisa!
 
Back
Top Bottom