Kenya yaangukia pua UN, yashindwa tena kukubalika katika anga za Kimataifa

tanzania na djibouti waangukia puaaa! dah pole zaooo waswahilii😂😂
 
Hongereni sana, tukutane ICJ, Hahahaha, Hahahaha
Screenshot_20200618-221040.png

😂😂😂😂
 
duh! hapa hata kama ni mimi ingebidi nikwepe mada nilioanzisha mwenyewe
 
Laakini kwaviile tumeshinda UNSC seat , Amina Mohamed sioni akichukua uskani wa WTO, manake nchi zilizotupigia zitataka turgeshe shukrani kwa ku support candidate wao....
 
Hongereni kwa kuishinda Djibouti nchi ambayo na uhakika zaidi ya asilimia 80 ya WaAfrika hawajui inapatikana wapi. Lol 😝.
 
Laakini kwaviile tumeshinda UNSC seat , Amina Mohamed sioni akichukua uskani wa WTO, manake nchi zilizotupigia zitataka turgeshe shukrani kwa ku support candidate wao....
Muhimu ni kesi ya ICJ, hiyo UNSC seat na huyu Amina, havina umuhimu kwa uchumi wa Kenya, mkishinda ICJ mtakua na kila sababu ya kujipongeza, sio hiyo "ceremonial seat", haina maana yoyote.
 
Djibouti alipigiwa kura na ARAB league nations pamoja na most African Francophone countries. Lakini Kenya ni nani? W
 
Muhimu ni kesi ya ICJ, hiyo UNSC seat na huyu Amina, havina umuhimu kwa uchumi wa Kenya, mkishinda ICJ mtakua na kila sababu ya kujipongeza, sio hiyo "ceremonial seat", haina maana yoyote.
Habari ndio hiyo... #10😹
IMG_20200618_224833.jpg
 
Hongereni kwa kuishinda Djibouti nchi ambayo na ujakika zaidi ya asilimia 80 ya WaAfrika hawajui inapatikana wapi. Lol 😝.
Djibouti ina bandari kubwa kushinda Tanzania kwahivyo waheshimu.
Alafu wana host military base kubwa za China, USA,France, Italy na Japan, Saudi Arabia, India......
Egypt kule juu iko kwa mlango wa suez canal, na Djibouti huku chini nayo iko hapo kwa mlango wa nyuma wa Suez canal.. Suez canal ndo 2nd bussiest canal coridor baada ya panama canal...
846djibouti_map.jpg

Kwahivyo Djibouti kwa International arena ni nchi kubwa sana, hapa Africa ndo hawajulikani au hawana ushawishi mkubwa lakini kule nje wao wanatambulika , wangeambia USA au China watubanie tusipigiwe basi lingefanyika manake hizo kambi za kijeshi huko ni muhimu kwa ku secure na ku control hio suez canal chanel kwa hizo nchi kuliko uhusiano wao na Kenya.
 
Level yenu ni Djibouti na Somalia, wasomali wametangulia kule Uholanzi wanawasubiri ICJ.
 
Muhimu ni kesi ya ICJ, hiyo UNSC seat na huyu Amina, havina umuhimu kwa uchumi wa Kenya, mkishinda ICJ mtakua na kila sababu ya kujipongeza, sio hiyo "ceremonial seat", haina maana yoyote.
Tukichukua WTO tutaitumia kupiga dili nzuri nzuri nyingi sana za bashara we ngoja tu hautaamini, kama DR.Muhusa Kitunyi ametuletea mengi Kenya kama Sec.Gen wa UNTAD ambayo ni body ndogo kushinda WTO, sembuse huyu mpambe wetu Amina?
 
Level yenu ni Djibouti na Somalia, wasomali wametangulia kule Uholanzi wanawasubiri ICJ.
#10 😹

Ikumbukwe moja wa majaji pale ICJ ni msomali ambaye anastaafu February 2021. Kenya tulishapiga dili kesi kahairishwa hadi March 2021. Sasa tumeshinda UNSC na tunaanza kazi Jan. 2021. Mwenye macho...
IMG_20200618_224833.jpg
 
Back
Top Bottom