Kenya yaanza kuwashughulikia Vyeti Feki yasema watafanya zaidi ya Shujaa Magufuli kwa kuwashtaki " Vyeti Feki" Mahakamani!

Sawa shujaa wa chato aliwatumbua bila kuwapa haki ya kujitetea mahakamani,

Alichokifanya ni uvunjifu wa Sheria kuliko waharifu walichokifanya,
Kwamba hao waliofisadi Taifa hawakuleta madhara kwa Taifa? Unajua vijana wangapi walikosa ajira wakiwa na Shahada zao za Ukweli? Ukiondoa ajira, Unajua ni mama wangapi wajawazito walikosa vitanda vya hospitali na hata kufa kwasababu ya kukosekana kwa Fedha ambazo zilikuwa zikitumika kuwalipa vyeti Feki?
Kiufupi ule ulikua ni uonevu maana nchi inaendeshwa kwa misingi ya sheria na Sio matamko binafsi.

Wewe unaona yale yalikuwa ni matamko binafsi?
Africa is shithole
Donald Trump.
Mbona hasira tena, yani pamoja na kwamba Kenya wametangaza watatumia mahakama, wewe bado unaona huo sio utendaji wa haki? Unaonekana unatetea ufisadi.
Mwisho wa kunukuu!
Kwa kifupi umepata sehemu ya kutoa dukuduku lako. Makosa wafanye wenye vyeti feki, Kenya na Tanzania, wewe unatuhumu Afrika nzima? Kweli kazi tunayo.
 
Kwamba hao waliofisadi Taifa hawakuleta madhara kwa Taifa? Unajua vijana wangapi walikosa ajira wakiwa na Shahada zao za Ukweli? Ukiondoa ajira, Unajua ni mama wangapi wajawazito walikosa vitanda vya hospitali na hata kufa kwasababu ya kukosekana kwa Fedha ambazo zilikuwa zikitumika kuwalipa vyeti Feki?

Wewe unaona yale yalikuwa ni matamko binafsi?

Mbona hasira tena, yani pamoja na kwamba Kenya wametangaza watatumia mahakama, wewe bado unaona huo sio utendaji wa haki? Unaonekana unatetea ufisadi.

Kwa kifupi umepata sehemu ya kutoa dukuduku lako. Makosa wafanye wenye vyeti feki, Kenya na Tanzania, wewe unatuhumu Afrika nzima? Kweli kazi tunayo.
Waafrika mna tatizo la kisaikolojia na kutofikiri mambo kwa kina,kama una akili timamu na ni great thinker lazima uelewe nilichokiandika na hoja nayojaribu kuwasilisha

Hivi huyo Magufuli alitumia sheria ipi kuwawajibisha waliofake vyeti na kusababisha hasara kwa Taifa?
Kwanini asingeacha Mahakama iwawajibishe badala yake akatekeleza maamuzi yake binafsi ya kuwafukuza bila kuacha Mahakama huru itoe hukumu na wapate adhabu inayowastahili kwa mujibu wa Sheria?
Kuna watu ni wajinga sana hii nchi kila kitu kina misingi yake hatuwezi kuendesha mambo bila kufuata taratibu na ndio Mwanzo wa uharibifu
Vipi baada ya hao fake kutimuliwa walikua na vyeti halali waliajiriwa kufidia gape lao?
Think twice!
 
Kwamba hao waliofisadi Taifa hawakuleta madhara kwa Taifa? Unajua vijana wangapi walikosa ajira wakiwa na Shahada zao za Ukweli? Ukiondoa ajira, Unajua ni mama wangapi wajawazito walikosa vitanda vya hospitali na hata kufa kwasababu ya kukosekana kwa Fedha ambazo zilikuwa zikitumika kuwalipa vyeti Feki?

Wewe unaona yale yalikuwa ni matamko binafsi?

Mbona hasira tena, yani pamoja na kwamba Kenya wametangaza watatumia mahakama, wewe bado unaona huo sio utendaji wa haki? Unaonekana unatetea ufisadi.

Kwa kifupi umepata sehemu ya kutoa dukuduku lako. Makosa wafanye wenye vyeti feki, Kenya na Tanzania, wewe unatuhumu Afrika nzima? Kweli kazi tunayo.
Nauliza tena Magufuli alitumia sheria ipi kuwawajibisha waliofake vyeti na kulisababishia hasara Taifa?
Swali la pili ni kwanini kada nyingine kama za Ulinzi na Usalama,mawaziri nk hawakuwajibishwa?
Kwanini alibagua kada katika zoezi hilo?
Use brain to understand tricks of Politicians budda!
 
Back
Top Bottom