SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Kwamba hao waliofisadi Taifa hawakuleta madhara kwa Taifa? Unajua vijana wangapi walikosa ajira wakiwa na Shahada zao za Ukweli? Ukiondoa ajira, Unajua ni mama wangapi wajawazito walikosa vitanda vya hospitali na hata kufa kwasababu ya kukosekana kwa Fedha ambazo zilikuwa zikitumika kuwalipa vyeti Feki?Sawa shujaa wa chato aliwatumbua bila kuwapa haki ya kujitetea mahakamani,
Alichokifanya ni uvunjifu wa Sheria kuliko waharifu walichokifanya,
Kiufupi ule ulikua ni uonevu maana nchi inaendeshwa kwa misingi ya sheria na Sio matamko binafsi.
Wewe unaona yale yalikuwa ni matamko binafsi?
Mbona hasira tena, yani pamoja na kwamba Kenya wametangaza watatumia mahakama, wewe bado unaona huo sio utendaji wa haki? Unaonekana unatetea ufisadi.Africa is shithole
Donald Trump.
Kwa kifupi umepata sehemu ya kutoa dukuduku lako. Makosa wafanye wenye vyeti feki, Kenya na Tanzania, wewe unatuhumu Afrika nzima? Kweli kazi tunayo.Mwisho wa kunukuu!