Kenya yaendelea kuzuia Watanzania kuingia Taveta na kufanya biashara

Sasa Hapo mfanyabiashara bado unaforce kupeleka ndizi mombatha,🎃🎃,zikikuozea Hapo boda usilaumu
 
Hili nililijua toka awali litatokea tu.
Kwenye vita dhidi ya Corona, Kenya na Tanzania wanapigana kwenye standard level tofauti sana. Hivyo maafikiano yao yalikuwa ni kiini macho, ganzi na kuvuta muda ili upepo wa tension upite.

Wakati Kenya inakesha usiku na mchana kusaka waathirika, kupima washukiwa na kutangaza mara moja idadi ya waathirika wa Corona bila woga wala aibu. Tanzania hali ni tofauti kabisa, nchi ipo usingizini kabisa, hakuna tena mwelekeo wa mapambano mazito dhidi ya Corona. Uwe na Corona au usiwe na Corona unakaribishwa kuja Tanzania bila wasiwasi wote, utapimwa Joto tu, ukiwa sawa, basi utahudumiwa kama mfalme, ni pesa yako tu!

Katika mazingira hayo, Kenya na Tanzania watawezaje kukubaliana kirahisi tu, eti kila mtu apime madereva wake na kuwa vyeti? Ni uwendawazimu huo.
Dawa ni kila nchi ipime wageni wanaotaka kuingia nchini mwake. Hutaki kupimwa, huingii.
 
si ndio maana tumewaambia washushe mizigo mpakani ili wasiingie Tanzania na kuata corona! tatizo nn kwani?
 
Tatizo kubwa hapa ni nchi moja kutaka kuipangia nyingine jinsi ya kupambana na huu ugonjwa, mi nafikiri kila nchi ipambane vile inaona inafaaTUSIPANGIANE,
 
Back
Top Bottom