Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi nyingi zinahitaji chakula kutoka kwetu.Sasa Hapo mfanyabiashara bado unaforce kupeleka ndizi mombatha,[emoji316][emoji316],zikikuozea Hapo boda usilaumu
Kuna alternatives uza DRC au Mozambique au Zambia!Nchi nyingi zinahitaji chakula kutoka kwetu.
Acha kuharisha humuMbaki kwenu shenzy type! Trucks za Tanzania zinazuiwa pia! Kwani trucks za Tanzania zinaleta nn Kenya?
wewe mbwigambwiga umetoka wapi?Acha kuharisha humu
si ndio maana tumewaambia washushe mizigo mpakani ili wasiingie Tanzania na kuata corona! tatizo nn kwani?Hili nililijua toka awali litatokea tu.
Kwenye vita dhidi ya Corona, Kenya na Tanzania wanapigana kwenye standard level tofauti sana. Hivyo maafikiano yao yalikuwa ni kiini macho, ganzi na kuvuta muda ili upepo wa tension upite.
Wakati Kenya inakesha usiku na mchana kusaka waathirika, kupima washukiwa na kutangaza mara moja idadi ya waathirika wa Corona bila woga wala aibu. Tanzania hali ni tofauti kabisa, nchi ipo usingizini kabisa, hakuna tena mwelekeo wa mapambano mazito dhidi ya Corona. Uwe na Corona au usiwe na Corona unakaribishwa kuja Tanzania bila wasiwasi wote, utapimwa Joto tu, ukiwa sawa, basi utahudumiwa kama mfalme, ni pesa yako tu!
Katika mazingira hayo, Kenya na Tanzania watawezaje kukubaliana kirahisi tu, eti kila mtu apime madereva wake na kuwa vyeti? Ni uwendawazimu huo.
Dawa ni kila nchi ipime wageni wanaotaka kuingia nchini mwake. Hutaki kupimwa, huingii.
Tatizo kubwa hapa ni nchi moja kutaka kuipangia nyingine jinsi ya kupambana na huu ugonjwa, mi nafikiri kila nchi ipambane vile inaona inafaaTUSIPANGIANE,si ndio maana tumewaambia washushe mizigo mpakani ili wasiingie Tanzania na kuata corona! tatizo nn kwani?