Kenya yafaulu kuuza maparachichi kwa mataifa 42, mwendo wa mbele kwa mbele, wakulima wetu hoyee

Kenya yafaulu kuuza maparachichi kwa mataifa 42, mwendo wa mbele kwa mbele, wakulima wetu hoyee

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hii nchi tunapambana sio mchezo, shukrani za dhati ziwafikie wanaotafuta haya masoko maana hali inazidi kunoga kwa wakulima wetu.

Kenyan avocado exports hit a record high in the first half of 2020 with more than 58,400 tonnes sold to 42 countries, thanks to the Covid-19 pandemic.

Data from the Directorate of Horticulture and the Avocado Society of Kenya shows that sales almost topped the total quantity sold last year.

According to Avocado Society of Kenya Chief Executive Ernest Muthomi, the country earned more than Sh8 billion from the exports.

The Netherlands, a major fresh produce distribution hub in Europe remained the lead importer of Kenyan avocados with 16.3 million kilogrammes bought by June.

TOP IMPORTERS

Other top importers include Spain with 7.5 million kilogrammes, UAE (5.8 million kilogrammes), Russia (5.4 million kilogrammes), France (4.7 million kilogrammes) and Belgium (4.6 million kilogrammes)

======

Kenya earns Sh8bn from avocados as Covid-19 boosts exports

Kenyan avocado exports hit a record high in the first half of 2020 with more than 58,400 tonnes sold to 42 countries, thanks to the Covid-19 pandemic.

Data from the Directorate of Horticulture and the Avocado Society of Kenya shows that sales almost topped the total quantity sold last year.

According to Avocado Society of Kenya Chief Executive Ernest Muthomi, the country earned more than Sh8 billion from the exports.
The Netherlands, a major fresh produce distribution hub in Europe remained the lead importer of Kenyan avocados with 16.3 million kilogrammes bought by June.

TOP IMPORTERS
Other top importers include Spain with 7.5 million kilogrammes, UAE (5.8 million kilogrammes), Russia (5.4 million kilogrammes), France (4.7 million kilogrammes) and Belgium (4.6 million kilogrammes).

Mr Muthomi said there has been a growing demand for fruits during the pandemic where the avocado is being recommended for its high alkaline content.

“The high export numbers can also be attributed to an increase in avocado acreage and quality of the fruit being produced by our farmers. We are excited by the prospects of rising demand for the fruit,” Mr Muthomi said.

He said the average price of a four-kilogramme pack of hass avocados is Sh350 and is expected to hit Sh450 as supply in other parts of the world declines.

Mr Gideon Gitonga, an avocado farmer, said while demand had declined early in the year, more buyers were calling in to buy from him.
In the last six months, Kenya exported 45, 737 tonnes of avocado to the European market.

Kenya is ranked among the fastest growing avocado exporters in the world having overtaken South Africa in production.

Source: Daily Nation
 
Ajabu ni kuwa malori mengi yaliyokwama kwa sakata la corona Namanga na Horiri kutokea Moshi na Arusha yalikua na maparachichi
Malori mengi eeh? Haya basi, ila jua kwamba hayo ni maparachichi ya msimu, ambayo huwa yanaishia tu kwenye soko la Marikiti, Nairobi.

Sio yale ya Hass ambayo yanakuzwa kwa wingi sana maeneo ya Ml. Kenya, sanasana Murang'a. Ambayo ndio maparachichi yanayokubalika kwa export, kwenye nchi kama hizo zilizotajwa Spain, UAE, Russia, France, Belgium na Netherlands.

Kwenye kuzalisha Hass Avacado Kenya imeipiku hadi S.A na wakulima wa Kenya wamekuwa wakipokea mamilioni ya dola kila mwaka. Wakulima wa Kenya tayari wamepokea KES 8Billion tangu Januari mwaka huu. "Kenya is ranked among the fastest growing avocado
exporters in the world having
overtaken South Africa in
production....."
 
Kenya inashikilia nafasi ya sita duniani na nafasi ya kwanza Africa kwa kuzalisha na kuuza parachichi. Hiyo ya Tanzania ni ya marikiti, haifai kabisa katika soko nje ya eac.
Kulingana na Takwimu za FAO(2018) Kenya ilikuwa ya saba duniani kwenye uzalishaji wa maparachichi @234,000 metric tonnes kwa mwaka.
2373506_1587329283546.png

Najaribu kuwatafuta majirani kwenye takwimu tofauti, za uzalishaji na export pia, ila siwaoni. Maanake kulingana na rais wao hata wakuliwa wa Kenya pia walikuwa wapo kwenye 'lokudauni' wamelala fofofo wakati wao walikuwa wanalima. Ila cha kushangaza ni kwamba wakulima wa Kenya wamepokea KES 8billion kwenye miezi sita ya kwanza ya 2020 kupitia shirika lao la Kenya Avocado Growers. Labda majirani huwa wanakuza maparachichi yao kisirisiri alafu wakishayavuna wanayauza kisirisiri pia kwenye nchi zote za EAC na SADC pia.
 
Mnapiga kelele sana kwa vitu vya kawaida sana kwetu

Ni mkulima mmoja tu wa Tanzania aitwae Frank anaweza kutosheleza mahitaji ya largest exporters wenu and yet tunakua vinara wa Parachichi Africa,

Screenshot_20200715-073337~2.png
 
MK254 hayo makatapera Wakenya wanayanunua Mbeya, Iringa na Njombe Kisha huyaleta Kenya 🇰🇪 na kusema wameyazalisha wao.
CCM imesababisha Taifa zima tuonekane mazuzu.
na wewe katafute masoko huko nje ufanye export kama watanzania wengine

Huyu Dada kakuzidi akili, ameacha kuilaumu CCM kwa mambo ya kijinga na ameona fursa, sasa anaenda kuwa dollars millionaire
 
Acha porojo zako za kimataga tupe takwimu za kueleweka, kama hizi, hakuna nchi nyingine kwenye Top 10 kwa uzalishaji wa maparachichi Afrika. Kenya #7 production kwa zaidi ya 250,000 metric tonnes.
2373162_download.png
South Africa #12, Malawi #15, Tz mpo wapi?
LOL data za miaka ya 70s
 
hahaha asilimia 90 ya Parachichi wanazoexport wanazitoa Tanzania

Tanzania inaongoza Africa kwa uzalishaji wa Parachichi SA wenyewe wanakuja kuchukua Parachichi za exports kutoka Tanzania

Mnaexport Kenya na S.Africa, nchi mbili zinazo ongoza kwa uzalishaji na exports pia za maparachici hapa Afrika? Ila hampo hata kwenye Top 5 ya orodha ya nchi zinazozalisha au kufanya exports kwa wingi hapa Afrika, achilia mbali duniani. Hiyo lazima itakuwa ni ile sayansi yetu ya kiafrika, uchawi. [emoji1]
 
Back
Top Bottom