Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kwasababu Tz kwanza kilimo husika hakijapata support kubwa hivyo hatuna quantity kubwa ya mavuno. Pili serikali ya Tz haijaweka mazingira mazuri ya kuwaungunanisha wakulima na masoko ya dunia ndiyo maana Mkenya akienda Arusha ananunua parachichi kwa bei ya shambani anapeleka mzigo Kenya anaenda kuuza ulaya kwasababu serikali ya Kenya imeyaweka mazingira mazuri ya biashara husika.Nina maswali mawili. La kwanza, Kenya na S.A wanakuza na kuuza maparachichi kwa wingi, yaani 'exports'. Takwimu za Kenya na S.A zinasomeka vizuri tu. Mnasema Tz inakuza na kuuza kwa wingi zaidi, inakuwaje takwimu zenu za 'production' na 'exports' hazi'reflect' hayo mnayoyasema? Pili, inakuwaje kwamba wakulima wa Kenya wanapokea pesa taslimu moja kwa moja kutoka kwa exporters(KES 9B, Jan-June) wakati mazao ni ya watz kama mnavyodai?
Bwahaha!!sasa mbona huyo jamaa wa iringa asiende akauze europe[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha unajitahidi kweli kukwepa ukweli ila ukweli hauhitaji approval yako kuwa valid.
Hamna wala hamtakaa muwe na ardhi ya kulima Parachichi kuzidi Tanzania, kaeneo mnakokalimia Parachichi Kenya yote ni kama garden ya kitalu ya mkulima mmoja wa Parachichi Iringa.
Hujanieleza nikaelewa kwanini wakulima wa Kenya wanapokea hela kwa niaba ya watz. Ila umejikanganya hapo uliposema kwamba hamna quantity ya kutosha ya kuyapeleka Europe. Huwa yanaongezekaje yakifika Kenya?ni kwasababu Tz kwanza kilimo husika hakijapata support kubwa hivyo hatuna quantity kubwa ya mavuno,
pili serikali ya Tz haijaweka mazingira mazuri ya kuwaungunanisha wakulima na masoko ya dunia ndiyo maana Mkenya akienda Arusha ananunua parachichi kwa bei ya shambani anapeleka mzigo Kenya anaenda kuuza ulaya kwasababu serikali ya Kenya imeyaweka mazingira mazuri ya biashara husika.
Rudi shule darasa la 3 alafu uje tuendelee na mjada.Hujanieleza nikaelewa kwanini wakulima wa Kenya wanapokea hela kwa niaba ya watz. Ila umejikanganya hapo uliposema kwamba hamna quantity ya kutosha ya kuyapeleka Europe. Huwa yanaongezekaje yakifika Kenya?
[emoji1][emoji1][emoji1] Hata mwanafunzi wa darasa la tatu atajua tu kwamba hizo ni fix.Rudi shule darasa la 3 alafu uje tuendelee na mjada.
Good question, jamaa anasema wanasupply hadi South Africa. Ila hawana hamu kabisa na ulaya kwasababu eti hawataki maparachichi yao yaliwe na mabeberu. 😁Bwahaha!!sasa mbona huyo jamaa wa iringa asiende akauze europe[emoji23][emoji23][emoji23]
Utakufa kw kijibwa cha moyo kuhusu hii ishu[emoji122][emoji122][emoji122]
We ni mjinga kweli, hao wakenya si wanalipia mashambani, yanakuwa Mali zao alafu wanaenda kuuza huko ulaya kwa faida zaidi. Woi, acha mirungi erooHujanieleza nikaelewa kwanini wakulima wa Kenya wanapokea hela kwa niaba ya watz. Ila umejikanganya hapo uliposema kwamba hamna quantity ya kutosha ya kuyapeleka Europe. Huwa yanaongezekaje yakifika Kenya?
Hakuna means rafiki za kusafirisa kutoka Tz kwenda kwenye hayo masoko, we don't have direct flights to many European countries like you do. ChiisosGood question, jamaa anasema wanasupply hadi South Africa. Ila hawana hamu kabisa na ulaya kwasababu eti hawataki maparachichi yao yaliwe na mabeberu. [emoji16]
🤔🤔🤔🤔...........😂😂😂😂😂😂😂Good question, jamaa anasema wanasupply hadi South Africa. Ila hawana hamu kabisa na ulaya kwasababu eti hawataki maparachichi yao yaliwe na mabeberu. 😁
Mmeshindwa kuuza europe kwnnWe ni mjinga kweli, hao wakenya si wanalipia mashambani, yanakuwa Mali zao alafu wanaenda kuuza huko ulaya kwa faida zaidi. Woi, acha mirungi eroo
Ile ujinga iko tanzania ni another level, yani mtu anaamua kua mjinga kisa kutetetea ujingaGood question, jamaa anasema wanasupply hadi South Africa. Ila hawana hamu kabisa na ulaya kwasababu eti hawataki maparachichi yao yaliwe na mabeberu. [emoji16]
Shirikisha ubongo tafadhali, acha umwere. Exports ni exports tu, iwe cross-border au nje ya bara hili. Ndio nashangaa mbona hamuongozi Afrika kwa export ya maparachichi. Kama nyie ndio ma'supplier' wakubwa wa maparachichi ambayo S.A na Kenya wanauza ulaya na uarabuni.Hakuna means rafiki za kusafirisa kutoka Tz kwenda kwenye hayo masoko, we don't have direct flights to many European countries like you do. Chiisos
We ni mjinga kweli, hao wakenya si wanalipia mashambani, yanakuwa Mali zao alafu wanaenda kuuza huko ulaya kwa faida zaidi. Woi, acha mirungi eroo
Mnapiga kelele sana kwa vitu vya kawaida sana kwetu
Sawa! Endeleeni hivyo watu wa kutaka misifa. Mwenzenu mmoja nilikuwa naye katika nchi moja ya ulaya, na Kama kawaida yenu akaanza kubwabwaja hiki na kile kwa wazungu kuhusu alichoona ni sifa na kwamba eti Kenya iko juu Africa kwa hiki na kile. Waafrika tutakawa tunamshangaa na wazungu wengine wakawa wanainamisha vichwa chini.Kenya inashikilia nafasi ya sita duniani na nafasi ya kwanza Africa kwa kuzalisha na kuuza parachichi. Hiyo ya Tanzania ni ya marikiti, haifai kabisa katika soko nje ya eac.
Ah, we ni fara tuShirikisha ubongo tafadhali, acha umwere. Exports ni exports tu, iwe cross-border au nje ya bara hili. Ndio nashangaa mbona hamuongozi Afrika kwa export ya maparachichi. Kama nyie ndio ma'supplier' wakubwa wa maparachichi ambayo S.A na Kenya wanauza ulaya na uarabuni.
Kîrimû gîa gwîkîgiaAh, we ni fara tu
Punguza jazba mwanangu Sasa mumepewa membe mbona rahisi tu mtamng'oa magufuli madaraka.MK254 hayo makatapera Wakenya wanayanunua Mbeya, Iringa na Njombe Kisha huyaleta Kenya [emoji1139] na kusema wameyazalisha wao.
CCM imesababisha Taifa zima tuonekane mazuzu.
Hizi hapa za 2020 sasa tena takwimu zinaongeza kwamba Parachichi Mnazo export zinatoka Tanzania na ni statistics za hao hao wanunuzi mabeberu wala sio CCM
PussyKîrimû gîa gwîkîgia
kîrûgîte kîa mûciarîre.