Kenya yafaulu kuuza maparachichi kwa mataifa 42, mwendo wa mbele kwa mbele, wakulima wetu hoyee

Kenya yafaulu kuuza maparachichi kwa mataifa 42, mwendo wa mbele kwa mbele, wakulima wetu hoyee

Nina maswali mawili. La kwanza, Kenya na S.A wanakuza na kuuza maparachichi kwa wingi, yaani 'exports'. Takwimu za Kenya na S.A zinasomeka vizuri tu. Mnasema Tz inakuza na kuuza kwa wingi zaidi, inakuwaje takwimu zenu za 'production' na 'exports' hazi'reflect' hayo mnayoyasema? Pili, inakuwaje kwamba wakulima wa Kenya wanapokea pesa taslimu moja kwa moja kutoka kwa exporters(KES 9B, Jan-June) wakati mazao ni ya watz kama mnavyodai?
Ni kwasababu Tz kwanza kilimo husika hakijapata support kubwa hivyo hatuna quantity kubwa ya mavuno. Pili serikali ya Tz haijaweka mazingira mazuri ya kuwaungunanisha wakulima na masoko ya dunia ndiyo maana Mkenya akienda Arusha ananunua parachichi kwa bei ya shambani anapeleka mzigo Kenya anaenda kuuza ulaya kwasababu serikali ya Kenya imeyaweka mazingira mazuri ya biashara husika.
 
Hahaha unajitahidi kweli kukwepa ukweli ila ukweli hauhitaji approval yako kuwa valid.

Hamna wala hamtakaa muwe na ardhi ya kulima Parachichi kuzidi Tanzania, kaeneo mnakokalimia Parachichi Kenya yote ni kama garden ya kitalu ya mkulima mmoja wa Parachichi Iringa.
Bwahaha!!sasa mbona huyo jamaa wa iringa asiende akauze europe[emoji23][emoji23][emoji23]
Utakufa kw kijibwa cha moyo kuhusu hii ishu[emoji122][emoji122][emoji122]
 
ni kwasababu Tz kwanza kilimo husika hakijapata support kubwa hivyo hatuna quantity kubwa ya mavuno,
pili serikali ya Tz haijaweka mazingira mazuri ya kuwaungunanisha wakulima na masoko ya dunia ndiyo maana Mkenya akienda Arusha ananunua parachichi kwa bei ya shambani anapeleka mzigo Kenya anaenda kuuza ulaya kwasababu serikali ya Kenya imeyaweka mazingira mazuri ya biashara husika.
Hujanieleza nikaelewa kwanini wakulima wa Kenya wanapokea hela kwa niaba ya watz. Ila umejikanganya hapo uliposema kwamba hamna quantity ya kutosha ya kuyapeleka Europe. Huwa yanaongezekaje yakifika Kenya?
 
Rudi shule darasa la 3 alafu uje tuendelee na mjada.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Bwahaha!!sasa mbona huyo jamaa wa iringa asiende akauze europe[emoji23][emoji23][emoji23]
Utakufa kw kijibwa cha moyo kuhusu hii ishu[emoji122][emoji122][emoji122]
Good question, jamaa anasema wanasupply hadi South Africa. Ila hawana hamu kabisa na ulaya kwasababu eti hawataki maparachichi yao yaliwe na mabeberu. 😁
 
Hujanieleza nikaelewa kwanini wakulima wa Kenya wanapokea hela kwa niaba ya watz. Ila umejikanganya hapo uliposema kwamba hamna quantity ya kutosha ya kuyapeleka Europe. Huwa yanaongezekaje yakifika Kenya?
We ni mjinga kweli, hao wakenya si wanalipia mashambani, yanakuwa Mali zao alafu wanaenda kuuza huko ulaya kwa faida zaidi. Woi, acha mirungi eroo
 
Good question, jamaa anasema wanasupply hadi South Africa. Ila hawana hamu kabisa na ulaya kwasababu eti hawataki maparachichi yao yaliwe na mabeberu. [emoji16]
Hakuna means rafiki za kusafirisa kutoka Tz kwenda kwenye hayo masoko, we don't have direct flights to many European countries like you do. Chiisos
 
Good question, jamaa anasema wanasupply hadi South Africa. Ila hawana hamu kabisa na ulaya kwasababu eti hawataki maparachichi yao yaliwe na mabeberu. 😁
🤔🤔🤔🤔...........😂😂😂😂😂😂😂
These bozos are trash
 
We ni mjinga kweli, hao wakenya si wanalipia mashambani, yanakuwa Mali zao alafu wanaenda kuuza huko ulaya kwa faida zaidi. Woi, acha mirungi eroo
Mmeshindwa kuuza europe kwnn
 
Good question, jamaa anasema wanasupply hadi South Africa. Ila hawana hamu kabisa na ulaya kwasababu eti hawataki maparachichi yao yaliwe na mabeberu. [emoji16]
Ile ujinga iko tanzania ni another level, yani mtu anaamua kua mjinga kisa kutetetea ujinga
 
Hakuna means rafiki za kusafirisa kutoka Tz kwenda kwenye hayo masoko, we don't have direct flights to many European countries like you do. Chiisos
Shirikisha ubongo tafadhali, acha umwere. Exports ni exports tu, iwe cross-border au nje ya bara hili. Ndio nashangaa mbona hamuongozi Afrika kwa export ya maparachichi. Kama nyie ndio ma'supplier' wakubwa wa maparachichi ambayo S.A na Kenya wanauza ulaya na uarabuni.
We ni mjinga kweli, hao wakenya si wanalipia mashambani, yanakuwa Mali zao alafu wanaenda kuuza huko ulaya kwa faida zaidi. Woi, acha mirungi eroo
 
Mnapiga kelele sana kwa vitu vya kawaida sana kwetu

mtanzania ni mtz tu. Number mbili wapi!!! Data zote toka wikipidia na majarida yote ya kilimo duniani yaonyesha consistently bongalala hawepo hata top 50 duniani!!!

  1. Kenya: 28%
  2. Rwanda: 20%
  3. South Africa: 14%
  4. Cameroon: 8%
  5. DRC: 8%
  6. Ethiopia: 7%
  7. Côte d’Ivoire: 4%
  8. Morocco: 4%
  9. Madagascar: 3%
  10. Others: 4%
On worlds leading Avocado exporters by value, Mexico is ranked top in both production and export value. The total avocado production area in Mexico is around 415,520 acres, which produces 1.52 million metric tons every year.

Avocados exports by country totaled US$6 billion in 2017. That dollar value reflects a 141.2 percent increase for all avocados shippers over the five-year period starting in 2013. Globally, the value of exported avocados appreciated over a third (34.2 percent) from 2016 to 2017.

Below are the 15 countries that exported the highest dollar value worth of avocados during 2017.

  1. Mexico: US$2.9 billion (48.5% of total exported avocados)
  2. Netherlands: $803.6 million (13.4%)
  3. Peru: $580.4 million (9.7%)
  4. Chile: $457.5 million (7.6%)
  5. Spain: $343 million (5.7%)
  6. United States: $152.2 million (2.5%)
  7. New Zealand: $86.5 million (1.4%)
  8. Kenya: $78 million (1.3%)
  9. France: $70.4 million (1.2%)
  10. Israel: $64.6 million (1.1%)
  11. South Africa: $64.1 million (1.1%)
  12. Dominican Republic: $57.6 million (1%)
  13. Colombia: $52.9 million (0.9%)
  14. Morocco: $45.9 million (0.8%)
  15. Belgium: $44.8 million (0.7%)
 
Kenya inashikilia nafasi ya sita duniani na nafasi ya kwanza Africa kwa kuzalisha na kuuza parachichi. Hiyo ya Tanzania ni ya marikiti, haifai kabisa katika soko nje ya eac.
Sawa! Endeleeni hivyo watu wa kutaka misifa. Mwenzenu mmoja nilikuwa naye katika nchi moja ya ulaya, na Kama kawaida yenu akaanza kubwabwaja hiki na kile kwa wazungu kuhusu alichoona ni sifa na kwamba eti Kenya iko juu Africa kwa hiki na kile. Waafrika tutakawa tunamshangaa na wazungu wengine wakawa wanainamisha vichwa chini.

Baada ya kumaliza nilimpa kavu kavu uchuro wa mkenya anayejisifu Ulaya. Hakuongea na Mimi karibu wiki mbili na mpaka tunaondoka
 
Shirikisha ubongo tafadhali, acha umwere. Exports ni exports tu, iwe cross-border au nje ya bara hili. Ndio nashangaa mbona hamuongozi Afrika kwa export ya maparachichi. Kama nyie ndio ma'supplier' wakubwa wa maparachichi ambayo S.A na Kenya wanauza ulaya na uarabuni.
Ah, we ni fara tu
 
MK254 hayo makatapera Wakenya wanayanunua Mbeya, Iringa na Njombe Kisha huyaleta Kenya [emoji1139] na kusema wameyazalisha wao.
CCM imesababisha Taifa zima tuonekane mazuzu.
Punguza jazba mwanangu Sasa mumepewa membe mbona rahisi tu mtamng'oa magufuli madaraka.
 
Hizi hapa za 2020 sasa tena takwimu zinaongeza kwamba Parachichi Mnazo export zinatoka Tanzania na ni statistics za hao hao wanunuzi mabeberu wala sio CCM

View attachment 1507163
[/QUOTE]
Najua watanzania na kizungu ni kama maji na mafuta ila jaribu uelewe hiyo tweet uliyoleta hapa, hasa hiyo ya kwanza. Acha kujifanya zuzu
 
Back
Top Bottom