Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Ajabu ni kuwa malori mengi yaliyokwama kwa sakata la corona Namanga na Horiri kutokea Moshi na Arusha yalikua na maparachichi
Hahaha unajitahidi kweli kukwepa ukweli ila ukweli hauhitaji approval yako kuwa valid.Mnaexport Kenya na S.Africa, nchi mbili zinazo ongoza kwa uzalishaji na exports pia za maparachici hapa Afrika? Ila hampo hata kwenye Top 5 ya orodha ya nchi zinazozalisha au kufanya exports kwa wingi hapa Afrika, achilia mbali duniani. Hiyo lazima itakuwa ni ile sayansi yetu ya kiafrika, uchawi. [emoji1]
Tatizo jirani ameshindwa kutambua mchango wa Tanzania katika hii biashara.Si ndio inatakiwa tuwashukuru majirani kwa kutafuta soko la nje ili na wao wakija kununua kwetu wakulima wafaidike?
Ikiwa sie tumeshindwa kutafuta masoko kimataifa, acha wanaoweza wafanye kazi yao tunufaike wote.
hahaha asilimia 90 ya Parachichi wanazoexport wanazitoa Tanzania
Tanzania inaongoza Africa kwa uzalishaji wa Parachichi SA wenyewe wanakuja kuchukua Parachichi za exports kutoka Tanzania
Tatizo jirani ameshindwa kutambua mchango wa Tanzania katika hii biashara.
Kuzalisha jambo moja, kutafuta masoko ni jambo jingine.
Tukubali wakenya wametuzidi ujanja kwenye uchakarikaji.
Kuna taasisi, wizara au watu hawafanyi kazi yao ipasavyo au wanaenda kwa mazoea.
Kuna kipindi tujifunze kwa hawa majirani.
Kuliko mazao yaozee shambani, bora tuwauzie wakenya wenyewe wapeleke kwa mabeberu ikiwa sie hatuwezi kujiongeza kutafuta masoko nje.
Ninyi si mlikua mnapinga ununuzi wa ndege na kusema hamtaki maendeleo ya vitu bali watu na kwamba bibi yako analima Parachichi pale njombe hizo ndege zitamsaidia nini?Serikali yetu ya Tanzania imelala usingizi wa pono kwasababu nawajua wakulima wa TZ wanaowauzia wakenya Parachichi shambani alafu wakenya wanaenda kuuza Ulaya, na hii ni kwasababu serikali ya Kenya imetengeneza mazingira husika.
Sisi tuko busy kucheza na Chuchu sijui Zuchu.
Hii nchi tunapambana sio mchezo, shukrani za dhati ziwafikie wanaotafuta haya masoko maana hali inazidi kunoga kwa wakulima wetu...
Kenyan avocado exports hit a record high in the first half of 2020 with more than 58,400 tonnes sold to 42 countries, thanks to the Covid-19 pandemic.
Data from the Directorate of Horticulture and the Avocado Society of Kenya shows that sales almost topped the total quantity sold last year.
According to Avocado Society of Kenya Chief Executive Ernest Muthomi, the country earned more than Sh8 billion from the exports.
The Netherlands, a major fresh produce distribution hub in Europe remained the lead importer of Kenyan avocados with 16.3 million kilogrammes bought by June.
TOP IMPORTERS
Other top importers include Spain with 7.5 million kilogrammes, UAE (5.8 million kilogrammes), Russia (5.4 million kilogrammes), France (4.7 million kilogrammes) and Belgium (4.6 million kilogrammes).
Kenya earns Sh8bn from avocados as Covid-19 boosts exports
Neno asante ni dogo lakini kina maana kubwa sana. Unapomwambia asante hata mfanyakazi kazi wako ingawa unamlipa mshahara anazidisha ufanisi. Ni njia ya kumfahamisha kuwa unatambua mchango wake au mchango wake ni muhimu kwako.Jirani alikua anapambana na Covid 19, usisahau huo ugonjwa siasa zimetawala sana kuliko utaalam. Ni janga jipya hata hivyo kila watu wanaogelea kivyao. Hadi sasa hakuna mwenye suluhu moja inayoaminika kwa wote. Trump juzi katupia barakoa.
Tukirudi kwenye hoja, sisi inabidi tuwashukuru majirani kwa kuokoa parachichi za wakulima wetu zisiozee shambani. Mambo ya shukrani au kutambua mchango si tija sana.
Chapati bado zipo nije kuchukua?
Hata sisi kwetu njombe tunalima Hass kwa wingi sana na wanunuzi wakubwa wanatoka Kenya.Malori mengi eeh? Haya basi, ila jua kwamba hayo ni maparachichi ya msimu, ambayo huwa yanaishia tu kwenye soko la Marikiti, Nairobi.
Sio yale ya Hass ambayo yanakuzwa kwa wingi sana maeneo ya Ml. Kenya, sanasana Murang'a. Ambayo ndio maparachichi yanayokubalika kwa export, kwenye nchi kama hizo zilizotajwa Spain, UAE, Russia, France, Belgium na Netherlands. Kwenye kuzalisha Hass Avacado Kenya imeipiku hadi S.A na wakulima wa Kenya wamekuwa wakipokea mamilioni ya dola kila mwaka. Wakulima wa Kenya tayari wamepokea KES 8Billion tangu Januari mwaka huu. ".....Kenya is ranked among the fastest growing avocado
exporters in the world having
overtaken South Africa in
production....."
Dah jombaa, hata wewe pia ni miongoni mwa hawa matomaso ambao hawaamini kwamba maparachichi ya export yanakuzwa kwa wingi nchini Kenya? Naona baada ya wenzako kukosa takwimu za kuhalalisha madai yao kwamba Tz ndio mnazalisha zaidi wameanza kutupia video. Haya basi ndio hizi video, ukulima wa maparachichi nchini Kenya upo kwenye level nyingine.MK254 hayo makatapera Wakenya wanayanunua Mbeya, Iringa na Njombe Kisha huyaleta Kenya na kusema wameyazalisha wao.
CCM imesababisha Taifa zima tuonekane mazuzu.
Ninyi si mlikua mnapinga ununuzi wa ndege na kusema hamtaki maendeleo ya vitu bali watu na kwamba bibi yako analima Parachichi pale njombe hizo ndege zitamsaidia nini?
Ndio akili iwakae sasa
Kuna vijana wamejitahidi Sana kuitambulisha parachichi ya Tanzania (njombe) lakini wanachokutana nacho toka kwa maafisa wetu wa biashara na kilimo, utashangaa. Ni kupigwa vita na kukatishwa tamaa.Serikali yetu ya Tanzania imelala usingizi wa pono kwasababu nawajua wakulima wa TZ wanaowauzia wakenya Parachichi shambani alafu wakenya wanaenda kuuza Ulaya, na hii ni kwasababu serikali ya Kenya imetengeneza mazingira husika.
Sisi tuko busy kucheza na Chuchu sijui Zuchu.
Neno asante ni dogo lakini kina maana kubwa sana. Unapomwambia asante hata mfanyakazi kazi wako ingawa unamlipa mshahara anazidisha ufanisi. Ni njia ya kumfahamisha kuwa unatambua mchango wake au mchango wake ni muhimu kwako.
Chapati zippo karibu.
Hii habari nimeiona pia kwenye media ya CRI ya China. Hongereni sana jirani zetu wa KenyaMalori mengi eeh? Haya basi, ila jua kwamba hayo ni maparachichi ya msimu, ambayo huwa yanaishia tu kwenye soko la Marikiti, Nairobi.
Sio yale ya Hass ambayo yanakuzwa kwa wingi sana maeneo ya Ml. Kenya, sanasana Murang'a. Ambayo ndio maparachichi yanayokubalika kwa export, kwenye nchi kama hizo zilizotajwa Spain, UAE, Russia, France, Belgium na Netherlands. Kwenye kuzalisha Hass Avacado Kenya imeipiku hadi S.A na wakulima wa Kenya wamekuwa wakipokea mamilioni ya dola kila mwaka. Wakulima wa Kenya tayari wamepokea KES 8Billion tangu Januari mwaka huu. ".....Kenya is ranked among the fastest growing avocado
exporters in the world having
overtaken South Africa in
production....."
Aiseee umenikumbusha wimbo wa Mgosi Maliki Mkoloni ft Mr Ebbo unaitwa - Sifa za Kijinga ebu usikilize chini.Hii nchi tunapambana sio mchezo, shukrani za dhati ziwafikie wanaotafuta haya masoko maana hali inazidi kunoga kwa wakulima wetu.
Kenyan avocado exports hit a record high in the first half of 2020 with more than 58,400 tonnes sold to 42 countries, thanks to the Covid-19 pandemic.
Data from the Directorate of Horticulture and the Avocado Society of Kenya shows that sales almost topped the total quantity sold last year.
According to Avocado Society of Kenya Chief Executive Ernest Muthomi, the country earned more than Sh8 billion from the exports.
The Netherlands, a major fresh produce distribution hub in Europe remained the lead importer of Kenyan avocados with 16.3 million kilogrammes bought by June.
TOP IMPORTERS
Other top importers include Spain with 7.5 million kilogrammes, UAE (5.8 million kilogrammes), Russia (5.4 million kilogrammes), France (4.7 million kilogrammes) and Belgium (4.6 million kilogrammes)
Kenya earns Sh8bn from avocados as Covid-19 boosts exports
rudi shule mataga, hapa ni swala la wizara ya biashara kutengeneza mazingira ya wakulima kupata masoko ya parachichi nje ya nchi,Ninyi si mlikua mnapinga ununuzi wa ndege na kusema hamtaki maendeleo ya vitu bali watu na kwamba bibi yako analima Parachichi pale njombe hizo ndege zitamsaidia nini?
Ndio akili iwakae sasa
Hata sisi kwetu njombe tunalima Hass kwa wingi sana na wanunuzi wakubwa wanatoka Kenya.
Hahaha unajitahidi kweli kukwepa ukweli ila ukweli hauhitaji approval yako kuwa valid Hamna wala hamtakaa muwe na ardhi ya kulima Parachichi kuzidi Tanzania.
Nina maswali mawili. La kwanza, Kenya na S.A wanakuza na kuuza maparachichi kwa wingi, yaani 'exports'. Takwimu za Kenya na S.A zinasomeka vizuri tu. Mnasema Tz inakuza na kuuza kwa wingi zaidi, inakuwaje takwimu zenu za 'production' na 'exports' hazi'reflect' hayo mnayoyasema? Pili, inakuwaje kwamba wakulima wa Kenya wanapokea pesa taslimu moja kwa moja kutoka kwa exporters(KES 9B, Jan-June) wakati mazao ni ya watz kama mnavyodai?Serikali yetu ya Tanzania imelala usingizi wa pono kwasababu nawajua wakulima wa TZ wanaowauzia wakenya Parachichi shambani alafu wakenya wanaenda kuuza Ulaya.
Nyie muko na ujanja mwingi kutuzidi.Nina maswali mawili. La kwanza, Kenya na S.A wanakuza na kuuza maparachichi kwa wingi, yaani 'exports'. Takwimu za Kenya na S.A zinasomeka vizuri tu. Mnasema Tz inakuza na kuuza kwa wingi zaidi, inakuwaje takwimu zenu za 'production' na 'exports' hazi'reflect' hayo mnayoyasema? Pili, inakuwaje kwamba wakulima wa Kenya wanapokea pesa taslimu moja kwa moja kutoka kwa exporters(KES 9B, Jan-June) wakati mazao ni ya watz kama mnavyodai?