Kenya yafaulu kuuza maparachichi kwa mataifa 42, mwendo wa mbele kwa mbele, wakulima wetu hoyee

Data from the Directorate of Horticulture and the Avocado Society of Kenya shows that sales almost topped the total quantity sold last year.
Data za kupika
Mnauza parachichi na njaa hiyo mnakula nini,acha kutudanganya
 
Data za kupika
Mnauza parachichi na njaa hiyo mnakula nini,acha kutudanganya
(Mwaka 2016, wakulima wa Korosho waliwaomba wanunuzi wao wa nje kutoa kiasi cha fedha (ruzuku) ili iwasaidie kuzalisha zaidi. Wafanyabiashara hao walikubali na Wakulima kupitia chama chao cha ushirika walifunga mkataba na Tanzania Revenue Authority (TRA), ili wawakusanyie fedha hizo. (TRA) katika utaratibu wake, fedha hizo waliziita (Export Levy). Msimu wa mavuno 2017/2018, mavuno yao yaliwaingiza shilingi Trilioni moja na billioni miatatu (1,3 Trilioni). Mwaka 2018, serikali ilipitisha sheria ya kuchukuwa Export Levy (fedha za wakulima) kuwa mali yake.

Serikali pia ilidhibiti mashamba ya wakulima na maghala yao ikajitangaza kuwa mnunuzi pekee kwa bei watakayo. Mwisho wa tukio hilo wakulima walipata hasara kubwa na kuzidi kudidimia katika lindi la umaskini): Kwa muktadha huo kiwe chama kitakacho heshimu jitihada za wakulima chenye sera bora za kilimo na kuwasaidia Wakulima kupata pembejeo kwa bei nafuu na soko huru la kuuza mali zao.
 
Ushahidi tafadhali
 
TU avokado huto tuko km vimapera vibichi ndo unapiga kelele hapa,nenda Mbeya pale ule avokado moja tu family nzima mtakula na kusaza, soko la ndani linatutosha nyie pakieni kwenda Europe hivo vitakataka.
 
Yaani wakulima wa Kenya huu ndio muda wa kutoka kimasomaso.
 
Umeshapanic kichadema tayari.
 
Ajabu ni kuwa malori mengi yaliyokwama kwa sakata la corona Namanga na Horiri kutokea Moshi na Arusha yalikua na maparachichi.
Hayo Ni Yale maparachichi yaniashia soko la Marikiti...Tunakuza ya Export na Ku-import kutoka Tz for local consumption.
 

Mnapiga kelele sana kwa vitu vya kawaida sana kwetu

Apparently you do not know the difference between facts and anecdotes. I hope you noticed that, your anecdotes from companies that are massaging the egos of your hard headed leader are in conflict (2nd largest after Kenya, Third largest in africa) which is which? All data show Kenya is the largest producer in Africa, followed by south africa.
 
These guys are quoting the same sources partially...
 
Not producer, seller*

Since 90% are sourced from Tanzania
 
Bwahaha!!sasa mbona huyo jamaa wa iringa asiende akauze europe[emoji23][emoji23][emoji23]
Utakufa kw kijibwa cha moyo kuhusu hii ishu[emoji122][emoji122][emoji122]
Soma article vizuri, anauza ulaya na bado anawauzia ninyi
 
Nimeweka latest reports ya 2020
Wewe unamiletea takataka za miaka ya 70s

Nani hajielewi?
 
Sio tunasema
Nimekuwekea independent sources
Wazungu waliokishika hicho kilimo Kenya pamoja na masoko ndio wamesema

Usiniletee mimi makasiriko sababu hata hukifanya hivyo hautakuwa mzalishaji number 1 Africa.

Maswali yako yenyewe kama kindergarten 😅😅😅😅
 
from Njombe,Moshi,Arusha branded as kenyan Avocado anyway all is done because our leaders are busy with politics.
 
hahaha asilimia 90 ya Parachichi wanazoexport wanazitoa Tanzania.

Tanzania inaongoza Africa kwa uzalishaji wa Parachichi SA wenyewe wanakuja kuchukua Parachichi za exports kutoka Tanzania.

So Tanzania is exporting its Avocados to Kenya and South Africa, two of the leading avocados exporters in Africa, and yet same Tanzania is not even among the top Three Avocado exporters in Africa? Please help me understand this logic.
 
So Tanzania is exporting its Avocados to Kenya and South Africa, two of the leading avocados exporters in Africa, and yet same Tanzania is not even among the top Three Avocado exporters in Africa? Please help me understand this logic.
You are asking too much of him! Logic is not in his vocabulary or brain, he will suffer a mental breakdown if he even attempts to do what you have asked of him. His prefrontal cortex is not that developed to do complex analysis that is why he relies on twitter to get the news that confirms his bias ie. Not objective sources.
He has the IQ of a mole rat and the attention span of a retarded cockroach, do not bother his head with facts,his cranium is hard wired to reject anything factual.
 
So Tanzania is exporting its Avocados to Kenya and South Africa, two of the leading avocados exporters in Africa, and yet same Tanzania is not even among the top Three Avocado exporters in Africa? Please help me understand this logic.
Tupo number 2 in exporting (outside Africa) but number 1 in producing

Soma tweets zenye latest data
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…