joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hili ni tatizo lenu kubwa sana ninyi wakenya, mpo very sensitive na kiingereza, nimekua kwa muda wote ninakusea kuandika Maneno ya Kiswahili na Kiingereza, sijasikia hata mtu mmoja akirebisha Maneno ya kiswahili niliyokosea, ila nikikosea kiingereza tu, "the wives of mzungu" wanawashwa hadi katika makalio. Kenya not yet Uhuru.Continues welded ndio kitu gani tena baharia wa temeke...
Kaa ukisoma ulicho type kwanza before u post