Kenya yafuata nyayo za Tanzania kwa wahujumu uchumi

Watu home watakuona bahili lkn...
Sasa km hyo mi-fi unatembea nayo, home huaga wanatumia nn?
Ni ww.
Kila mtu ana life style yake man.
Kuna wengine tunatembea na mifi sio wifi.
So hilo ni jambo la kawaida cha msingi ni kupata hitajio basi.
Kwasababu mm mathalan nikinunua GB 30 ninatumia internet km ww tu uliye na wifi.
 
Ati 'Mifi sio WiFi' Ndio umesema nini hapo au unatumia maneno kisa unayaskia vijiweni.
Anyway, wengi tunatembea na MiFI maana tuna vifaa zaidi ya kimoja ambavyo tumeunga kwenye internet.
 
Wachaa weee!!sasa mbona nilipokwambia kaa ukisoma kwanza ulichoandika huku kubali..bado una force vitu tu
Tatizo ni kwanini usiniambie wakati nikikosea Kiswahili?. Acheni ulimbukeni wenu wa mawazo ya kitumwa. Hapa lengo ni kufikisha ujumbe, kama umeelewa kilichokusudiwa kuandika hiyo inatosha, hatuko katika darasa la lugha yoyote ile. Wakenya mnaandika Kiswahili cha hovyo sana hapa, uliona hata siku moja ninawarekebisha?
 
Kwan unavyojua ww mifi ni nn??
Halafu sikuwahi kukaa vijiweni sina historia hyo.
Km unaielewa mifi ni nn bas ushaelewa nazungumzia nn.
Kesi klozid.
Ati 'Mifi sio WiFi' Ndio umesema nini hapo au unatumia maneno kisa unayaskia vijiweni.
Anyway, wengi tunatembea na MiFI maana tuna vifaa zaidi ya kimoja ambavyo tumeunga kwenye internet.
 
Kwanza home niko na mke.
Mke mwenyewe mswalihina kaingia kidogo internet katoka zikicharuka anaweza kukwambia sim na internet haram.
Watoto bado wadogo sim umri wao kutumia bado.
Watu home watakuona bahili lkn...
Sasa km hyo mi-fi unatembea nayo, home huaga wanatumia nn?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bro, umeniua kw kicheko walai...
Hajui km kenya karibia kila mahali kuna wi-fi..
Ofisini, migahawani nk
Wanadhani tunategemea 'bandos' kama wao. 😂 😂 😂
 
Ni ww.
Kila mtu ana life style yake man.
Kuna wengine tunatembea na mifi sio wifi.
So hilo ni jambo la kawaida cha msingi ni kupata hitajio basi.
Kwasababu mm mathalan nikinunua GB 30 ninatumia internet km ww tu uliye na wifi.

Ndio maana nikasema, cheza ligi yako. Mimi sijamponda yeyote kwa kutumia 'bandos'. Amejileta mwenyewe na nikamwambia acheze ligi yake.
 
Tatizo ni kwanini usiniambie wakati nikikosea Kiswahili?. Acheni ulimbukeni wenu wa mawazo ya kitumwa. Hapa lengo ni kufikisha ujumbe, kama umeelewa kilichokusudiwa kuandika hiyo inatosha, hatuko katika darasa la lugha yoyote ile. Wakenya mnaandika Kiswahili cha hovyo sana hapa, uliona hata siku moja ninawarekebisha?

Ovyo, sio hovyo.
 
Kumbe yanakukuta...sometimes nko jf sana , yani napigwa jicho hilo hadi najishuku
Kwanza home niko na mke.
Mke mwenyewe mswalihina kaingia kidogo internet katoka zikicharuka anaweza kukwambia sim na internet haram.
Watoto bado wadogo sim umri wao kutumia bado.
 
Mmeacha kujadili mada ya msingi mmegeukia mipasho.mnaboa
LOL kweli mkuu, upande wa pili wameiderail mada makusudically sababu wanajua imelalia upande wao nasi tukawafuata, sasa mada ya msingi imezikwa
 
Back
Top Bottom