komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Watu home watakuona bahili lkn...
Sasa km hyo mi-fi unatembea nayo, home huaga wanatumia nn?
Sasa km hyo mi-fi unatembea nayo, home huaga wanatumia nn?
Ni ww.
Kila mtu ana life style yake man.
Kuna wengine tunatembea na mifi sio wifi.
So hilo ni jambo la kawaida cha msingi ni kupata hitajio basi.
Kwasababu mm mathalan nikinunua GB 30 ninatumia internet km ww tu uliye na wifi.