MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Hongera sana kwa mashujaa wetu kwa kutia bidii na kuhakikisha bendera ya nchi yetu imezidi kupepea. Nchi yetu imezoa medali 15 na kuwa namba nne, ambapo namba moja ilinyakuliwa na Afrika Kusini, ikafuatiwa na China, Cuba halafu Kenya.
Sijui nini kifanyike kwa majirani zetu ndani ya EAC maana hawasikiki kabisa, hawakushinda hata medali moja ya shaba. Sijui kwao labda hamna wizara zinazohusiana na mambo ya michezo au nini.
Yaani huko kwao mambo ya michezo ni zero kabisa, hawatilii maanani wala nini na kila wakitajiwa mambo kama haya huwa hawakawii kutiririka kwa povu na kujitetea kwa kujaza picha za Kibera kwenye server za JF.
Juzi hata kwenye mpira wa miguu imebidi timu zetu zikachezee fainali huko kwao baada ya kuzipa kichapo cha mbwa timu zao tena kwao.
Hii hapa orodha yote
1. South Africa 5 3 3 11
2. China 5 2 4 11
3. Cuba 5 2 1 8
4. Kenya 4 7 4 15
5. Ethiopia 4 3 5 12
6. Germany 3 5 5 13
7. Jamaica 3 2 3 8
8. France 2 1 4 7
9. Ukraine 2 1 2 5
10. Turkey 1 1 1 3
11. Spain 1 1 0 2
11. Ecuador 1 1 0 2
13 Brazil 1 0 1 2
14. Czech Republic 1 0 0 1
14. Chile 1 0 0 1
16. Poland 0 2 0 2
17. Authorised Neutral Athlete 0 1 1 2
17. Belarus 0 1 1 2
19. Chinese Taipei 0 1 0 1
19. Latvia0 1 0 1
19. India 0 1 0 1
19. Cyprus 0 1 0 1
19. Bulgaria 0 1 0 1
19. Guyana 0 1 0 1
25 Romania 0 0 1 1
25. Turks And Caicos Islands 0 0 1 1
25. Colombia 0 0 1 1
25. Lithuania 0 0 1 1
Kenya finishes 4th as curtain falls on IAAF U-18