Mwanzi1
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 6,000
- 4,589
Waapi, kama mpo serious mfanye kweli sio cherry picking na kuogopa makaburi fulani mkifukua mengine. Huyo singa singa hakula mwenyewe, sasa mumeishia maigizo ya kumfanya apige goti pamoja na Rugemalila wakati pembeni mafisi waliokula wamekaa wanatazama show.
Haha unaona unavyo ongea usivyo vijuwa, ungejuwa joto linalowawakia wahusika wote wala usinge sema hivi.
Kenyatta mwaka wa tano huu madarakani, hajafungua hata mfuniko mmoja wa sufuria la mafisadi. Yeye ana "HEPA TU" halafu anarudi kwa wanachi na kutaka kuwa kama magufuli duh, wakenya inabidi wafunguwe macho waone njia mbele si salama.