Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Hujo jamaa kwenye picha ni binadamu ama skeleton
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona unaabudu sana wakoloni! Nikukumbushe tu kuwa Tanzania imepitia ukoloni wa wakoloni watatu!Mliogopa nini wakati hata mabwana zenu Wajerumani waliowakoloni walikuwemo na tukawashinda.
Mhh, mjomba ni vyema ungeandika kiswahili. Umechapia mpaka naona aibu.Tho tusisahau when it comes to singing they good
Post sent using JamiiForums mobile app
umeona eeeeh... kanapiga panapouma hahahahahKa.uzi haka ni kachungu kweli kweli
Naona unaabudu sana wakoloni! Nikukumbushe tu kuwa Tanzania imepitia ukoloni wa wakoloni watatu!
Wajerumani
Waingereza
Waarabu!
Mhh, mjomba ni vyema ungeandika kiswahili. Umechapia mpaka naona aibu.
Mbona nyinyi mnatafunwa na Waingereza mpaka kesho. Wanakalia ardhi yenu, wameweka jeshi lao, lugha ndio hata hamjuwi muanzie wapi.Hilo nalijua, kwanza Waarabu ndio waliwatafuna hadi mkakaa, tatizo ndio waliwaachia tamaduni zao nyingi hadi mnavyokunya.
Wametutafuna hawajatutafuna that's history! Plus jaribu kutumia tafsida maana wewe ni mtu mzima, hayo maneno yenye ukakasi nilitegemea yatamkwe na vijana wadogo sio wewe!Hilo nalijua, kwanza Waarabu ndio waliwatafuna hadi mkakaa, tatizo ndio waliwaachia tamaduni zao nyingi hadi mnavyokunya.
Ni kama kumminya mtu p.umbu kimya kimya! Atafurukuta lkn maumivu anayafeel hahahaU
umeona eeeeh... kanapiga panapouma hahahahah
Wametutafuna hawajatutafuna that's history! Plus jaribu kutumia tafsida maana wewe ni mtu mzima, hayo maneno yenye ukakasi nilitegemea yatamkwe na vijana wadogo sio wewe!
A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
Mbona nyinyi mnatafunwa na Waingereza mpaka kesho. Wanakalia ardhi yenu, wameweka jeshi lao, lugha ndio hata hamjuwi muanzie wapi.
Ni bora ukasome tena biology, kitu ambacho kinaweza kutoka kizazi na kizazi ni hereditary trait pekee! Uzembe sio hereditary trait!Mliiga kila kitu cha waarabu hadi uzembe wao, bora hata mngewafuata Wajerumani au Waingereza.
Sasa nyie wakati inafahamika mumebaki mahandaki matupu, kwanza mnaliwa na watu wa jamii aina nyingi akiongoza Muingereza, Mchina, Mhindi, Mwarabu na Msouth Afrika na pia sisi tupo humo kwenye hayo makinikia lazima tule kwa sahani moja.
😀😀😀 Vipi ACACIA wamewalipa zile mabilioni, this danganyikans manze, they have been eaten left right and centre, I noticed Kenyans are buying land in Tz by the way lol, wameliwa kweli kweli
Wahindi wanakula Kenya kama wenda wazumu, Waingereza wanaimiliki Kenya milele. Sasa mchina amekuja kumaliza kazi, wakenya mjitaarishe kisaikolojia kuomba ukimbizi South Sudan, Uganda na Tanzania. Yule waziri wa ulizi wa China alikuja kufanya nini tena? ogopa hela ya mchina.Sasa nyie wakati inafahamika mumebaki mahandaki matupu, kwanza mnaliwa na watu wa jamii aina nyingi akiongoza Muingereza, Mchina, Mhindi, Mwarabu na Msouth Afrika na pia sisi tupo humo kwenye hayo makinikia lazima tule kwa sahani moja.
Wahindi wanakula Kenya kama wenda wazumu, Waingereza wanaimiliki Kenya milele. Sasa mchina amekuja kumaliza kazi, wakenya mjitaarishe kisaikolojia kuomba ukimbizi South Sudan, Uganda na Tanzania. Yule waziri wa ulizi wa China alikuja kufanya nini tena? ogopa hela ya mchina.
Singa singa alizaliwa na kukulia Iringa Tanzania, alijifunza wizi baada ya kuja kuishi kwenye nyumba ya majizi [Kenya]. Sisi hatuna aibu na watu kama hao, atanyea debe tuu hakuna namna nyingine. Mnaweza kujifunza kutoka kwetu maana najua huko kwenu majizi kama haya mnayaonea huruma na aibu.Hehehe!! Vipi yule kalasinga mlisema Mkenya ambaye amewatafuna hadi mifupa, naomba musimhangaishe sana..... ni 'ndugu' wetu, si nyie ndio huwa mnapenda kuitana 'ndugu'.
Singa singa alizaliwa na kukulia Iringa Tanzania, alijifunza wizi baada ya kuja kuishi kwenye nyumba ya majizi [Kenya]. Sisi hatuna aibu na watu kama hao, atanyea debe tuu hakuna namna nyingine. Mnaweza kujifunza kutoka kwetu maana najua huko kwenu majizi kama haya mnayaonea huruma na aibu.