Kenya yahitimisha IAAF U-18 kwa medali 15, ila majirani walikuja kusindikiza tu


Haha unaona unavyo ongea usivyo vijuwa, ungejuwa joto linalowawakia wahusika wote wala usinge sema hivi.
Kenyatta mwaka wa tano huu madarakani, hajafungua hata mfuniko mmoja wa sufuria la mafisadi. Yeye ana "HEPA TU" halafu anarudi kwa wanachi na kutaka kuwa kama magufuli duh, wakenya inabidi wafunguwe macho waone njia mbele si salama.
 
Hehehe!! Vipi yule kalasinga mlisema Mkenya ambaye amewatafuna hadi mifupa, naomba musimhangaishe sana..... ni 'ndugu' wetu, si nyie ndio huwa mnapenda kuitana 'ndugu'.
Wakenya na waomani wanakula Tanzania kama wenyeji.

Mpaka serikali yenu Kila wiki Bungeni kuna Topic "kenya" kwa mijadala



Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hawa watu wa Michele hawawezi chochote ila Domolympics tuu... ^.. ^
 
ahahaaa wakenya wa jf awajielew nashanga mnavyojbishana nao
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Vipi ACACIA wamewalipa zile mabilioni, this danganyikans manze, they have been eaten left right and centre, I noticed Kenyans are buying land in Tz by the way lol, wameliwa kweli kweli
Kumbe hata hujui kipi kinaendelea? Nenda kwenye website yao upate majibu[emoji23] [emoji23] [emoji23]

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Hehehe!! Vipi yule kalasinga mlisema Mkenya ambaye amewatafuna hadi mifupa, naomba musimhangaishe sana..... ni 'ndugu' wetu, si nyie ndio huwa mnapenda kuitana 'ndugu'.
Vipi ile ardhi ya Kenyatta anasemaje kuwagawia maskini wanaokosa sehemu ya kulima? Maana huyu jamaa na baba yake wanawatafuna nyie mnaangalia kwa jirani tu!

Pia niliskia wakenya wenzio wanalalamika mahindi yakinunuliwa yanaishia kwa wakikuyu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…