Kenya yaigeukia Ethiopia kujaza pengo la upungufu wa chakula lililoachwa wazi na Tanzania

Kenya yaigeukia Ethiopia kujaza pengo la upungufu wa chakula lililoachwa wazi na Tanzania

Unajua kitu kinachoitwa "survival strategy?". Kenya hawana resources kwahiyo lazima watafute " survival strategies ", kama Tanzania tutafanya wenyewe kila kitu, wakenya watakufa, kwahiyo kamwe " Nature haiwezi kuachia hiyo itokee, kinachotokea ni "Specialization of labour.
Hii hapa mkuu [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]

 
Sasa we kwa akili zako unafikir chakula n Mali mbichi tu.
Angalia huyu.....Tanzania hakuna raw food processor afanye hadi export..Hakuna!
mahindi makavu,maharage na grains nazo zinaoza ,tuko Zaid ya mil55 kinaozaje !! ....
Kitu kua kikavu ndio hakina expiry date?
Mahindi yanayotoka shambani kuvunwa na kuwekwa kwenye matank ni kwamba hajawa processed kitaalamu kuongeza maisha yake bado,hayo ni raw grains which 3-6 months ni not usable!

Eti watu milioni 55 kinaozaje?Anaelima ni mwananchi,kuna soko la bei ghali Kenya la dola 200 kwa gunia,halafu nyie wana CCM msiokua na akili mnamlazimisha auzie wananchi hapa nchini kwa gunia 60,000/= apate hasara hata hela yake ya kulimia isirudi?????

Mna akili au matope?

WaTZ hawana hela za kutosha kununua mahindi kwa premium price kama Kenya maana hakuna hela uchumi ni mavi.Huwezi walazimisha wakulima waliolima kwa jasho na gharama kubwa wauzie mahindi yao masikini wasioweza lipa gharama.

Elewa losers hapa ni wakulima waliowekeza hela na jasho lao kwenye kulima halafu nyie mnawalizimisha wauze hapa nchini pasipokua na fedha sababu tu eti mmegombana na Kenya sababu ya upumbavu wenu wa kuficha korona!
Sema biashara itadolola lakin usiseme kinaoza....n Mali mbichi tu ndo znashida kwene uhifadhi kukiwa hamna viwanda vya kuchakata
Right there...Kiswahili umesoma wapi?

Kudolola ni nini?

Vyakula vinaozea ghalani kama matunda and the likes.Maziwa kila siku yanaharbika sababu bwana bure kaamua hakuna kuuza Kenya.

Kama bei ya Kenya ni 200USD na bwana bure hataki tuuze Kenya basi anunue yeye aweke ghalani kwake kwa 200USD and not less.

Huu uzembe na watu kama nyie mnautetea which does not make any sense!
 
Back
Top Bottom