Kenya yaigeukia Ethiopia kujaza pengo la upungufu wa chakula lililoachwa wazi na Tanzania

Mkuu sometimes uache unazi

GDP ni “output” ya uzalishaji

Wanazalisha zaidi yetu mara mbili ya sisi

Kama mtu kakuzidi GDP mara mbili halafu bado unaclaim uchumi wake mdogo zaidi yako basi utakua kijukuu cha shetani

Wanafanyakazi ya uzalishaji zaidi yetu mara mbili!

Enough said!
Rudi shule kwanza kachimbe deep ujue nini maana ya GDP ndio tuendelee na hii maada unaongelea GDP kumbe hata hujui maana yake, kwa kuanza tu kukusaidia GDP sio output mzee ni value ya output produced within a country na sio output then watu wa uchumi hawaangalii GDP kama kipimo cha uchumi mzuri katika nchi husika kuna facts kibao za kuangalia ili uweze kusema uchumi wa nchi fulani ni imara kwahiyo kenya kutuzidi sisi GDP haina maana wana maisha bora na mazuri kuriko mtanzania kwahiyo nakupa muda ukachimbe kidogo kuhusu GDP ujue inahusiana vipi na uchumi wa nchi na ustawi wa jamii katika maendeleo hii ni kidogo tu nimekudokeza
 
Demokrasia ni mfumo wa kuendesha nchi,na uzalishaji haupo kwenye mfumo wa nchi?

Hivi unatenganishaje Democracy na Development?Hii topic ya D&D ulisoma kweli!

Kenya wanatuuzia finished Industrial Goods ambazo ni expensive!

Sisi tunawauzia raw mahindi kama wajima yasiyokua na thamani yeyote compared na finished industrial goods!

Turnover kwenye hii bilateral trade upande wa Kenya itakua kubwa maradufu ya turnover yetu sisi maana tunauza raw materials ya chakula na wala hata sio cash crops,ni mahindi the lowest valued produce!

Walao hata tungesaga tupeleke Unga,tunapeleka mahindi yaliyopukusuliwa kwa kutwanga na magunia....What a lowly valued product compared na engineered products za viwandani ambazo ni expensive?

Akili zenu za mavi kabisa
Germany, Italy na Japan miaka iyo hakukua na democracy lakini walikuwa wanatishia amani uchumi wao duniani na maviwanda makubwa tu huwezi connect democracy na maendeleo angalia libya ya gaddafi ilikuwa na utawala wa kidikteta na maendeleo waliokuwa nayo ukiringanisha na democrasia waliokuwa wanaitka sasa cheki china huko hakuna democracy angalia maendeleo yao
 
Achana nae mfuasi wa mboi huyo huoni hata maneno yake ,hao wenyewe ndio wale wanaojiita wapinzani hata mm mpinzani ila cna akili Kama zake mara mahakama mara democrasia Kama yeye anajua kuhusu ya kenya kuliko wakenya wenyewe uhuru alishinda uchaguz ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndipo walipofikia,yaani kila kitu cha Taifa hili wanaona hakifai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Germany, Italy na Japan miaka iyo hakukua na democracy lakini walikuwa wanatishia amani uchumi wao duniani na maviwanda makubwa tu huwezi connect democracy na maendeleo angalia libya ya gaddafi ilikuwa na utawala wa kidikteta na maendeleo waliokuwa nayo ukiringanisha na democrasia waliokuwa wanaitka sasa cheki china huko hakuna democracy angalia maendeleo yao

Hayo si maendeleo

Maendeleo Bila Demokrasia sio maendeleo!

Ni slave camps!

Get that into your coconut!

Ndio maana nchi zote zilizowahi kua na dictatorship “maendeleo” unayotaja hapa yalimezwa na “revolutions”!

Revolutions ni equalizer ya upumbavu wote unaoita maendeleo ya kidikteta!

Fvck what you say maana ni useless!
 
Rudi shule kwanza kachimbe deep ujue nini maana ya GDP ndio tuendelee na hii maada unaongelea GDP kumbe hata hujui maana yake, kwa kuanza tu kukusaidia GDP sio output mzee ni value ya output produced within a country na sio output then watu wa uchumi hawaangalii GDP kama kipimo cha uchumi mzuri katika nchi husika kuna facts kibao za kuangalia ili uweze kusema uchumi wa nchi fulani ni imara kwahiyo kenya kutuzidi sisi GDP haina maana wana maisha bora na mazuri kuriko mtanzania kwahiyo nakupa muda ukachimbe kidogo kuhusu GDP ujue inahusiana vipi na uchumi wa nchi na ustawi wa jamii katika maendeleo hii ni kidogo tu nimekudokeza

Brother,ni output ya uzalishaji jumla wa nchi nzima!

Nimesoma na nilipata A zote you cant imagine!

Usitishe na definition ya GDP!

Najua GDP,najua navyojua mimi,na wewe unajua unavyojua wewe,keep your definition for your stupid self!

Uchumi wa Kenya ni bora zaidi ya Tanzania,!

Idadi karibu inalingana,nchi zipo region moja,watu wana asili ile ile,Kenya katuzidi parameters zote!

Wewe kama hutaki kutumia GDP ,tuambie paramaters unazodhani wewe Tanzania imeipita Kenya ambazo unadhani ukiziweka hapa basi Tanzania itakua imeipita uchumi Kenya??

Hizo parameters (if at all you have) ziweke hapa tuzione!

Low life ni low life!
 
Elewa GDP sio output mzee acha ubishi hiyo unayosema wewe hapo ni gross output (GO) kupata A ya kampala university aimanishi wewe unajua sana kuriko aliepata C udsm mwambie mwalimu wako akufundishe vizuri kuhusu GDP ndio uje hapa
 
Unajua wewe unanishangaza sana, kitendo cha wakulima kuuza Kenya unasema ni kwasababu bei ya Kenya ni kubwa, vipi kuhusu products za USA, Japan na Europe kuuzwa Africa?. Tumia akili vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app

Bei za viwandani kutoka developed industrial nationa ni ghali na more valuable kithamani zaidi ya hizi malighafi tunazopeleka kwako!

Hivyo sisi tutakua tuna run deficities kila mwaka!

Hata huelewi!

Still sleeping,look at ‘im!
 
Elewa GDP sio output mzee acha ubishi hiyo unayosema wewe hapo ni gross output (GO) kupata A ya kampala university aimanishi wewe unajua sana kuriko aliepata C udsm mwambie mwalimu wako akufundishe vizuri kuhusu GDP ndio uje hapa

Na mimi GDP nimesema sio output ni mavi?

Siwezi soma vyuo vya kata mzee,acha kufeli!

Nikupe Student Number yangu College of Engineering UDSM,Telecoms undergrad ukaangalie kama nilishapata chini ya A?

Postgrad nakupa address ni,Pasadena,CA 91125.

Wewe umezoea kupata C na D’s ni wewe sio mimi!
 
Brother,ni output ya uzalishaji jumla wa nchi nzima!

Nimesoma na nilipata A zote you cant imagine!

Usitishe na definition ya GDP!

Najua GDP,najua navyojua mimi,na wewe unajua unavyojua wewe,keep your definition for your stupid self!

Uchumi wa Kenya ni bora zaidi ya Tanzania,!

Idadi karibu inalingana,nchi zipo region moja,watu wana asili ile ile,Kenya katuzidi parameters zote!

Wewe kama hutaki kutumia GDP ,tuambie paramaters unazodhani wewe Tanzania imeipita Kenya ambazo unadhani ukiziweka hapa basi Tanzania itakua imeipita uchumi Kenya??

Hizo parameters (if at all you have) ziweke hapa tuzione!

Low life ni low life!
Pitia kidogo hapa uhenda ukapa kitu kidogo kijana then uje tuongee kuhusu uchumi wao mkubwa na wetu mdogo
Question: If an impact study identifies an increase in economic output of $1.0 million, is that the same as a $1.0 million increase in the gross domestic product?

Answer: No. If you thought the answer was yes or weren’t certain, I assure you, you’re not alone. I find that many people believe economic output and gross domestic product are the same thing or just aren’t sure what we’re even talking about. If you understand the following rough explanation, you’ll be ahead of 90% of the public in comprehending economic impact studies.
The graphic below illustrates some alternate terms for the two concepts we’re discussing. Economic output is sometimes referred to as gross output or simply output. As stated before, economic output is different from GDP. Gross domestic product is a measure of “value added” at the national level. The concept of gross domestic product at the local level is sometimes referred to as gross area product or gross regional product. Going forward, I will use the terms economic output vs. value added because it will prove to be more intuitive.

The two concepts are similar in the sense that both economic output and value added are measurements of economic productivity in a set area over a set period of time. The measurements are often taken with respect to a given stimulus (like a new firm or a change in taxes) and used to analyze its impact on the defined economy.

So how are they different?

Economic output measures the value of all sales of goods and services. This sounds simple enough but in this way, it is the sum of the final purchases and intermediate inputs, therefore resulting in the double counting of intermediate purchases.
For example, a furniture manufacturer buys wood from a saw mill for $100 and adds value to it by producing a piece of furniture which is then sold for $300. Economic output would total $400—the value of all sales in the chain of activity. The value of the wood is therefore counted twice—once as an intermediate good for the furniture manufacturer and again in the value of the furniture.
Value added focuses only on additional value of goods and services produced, thus is defined as economic output less intermediate inputs. By subtracting the goods that already passed through the market once and are now being used as a component of a new product, the assessment is more strictly defined compared to economic output.

Value added = Gross output – Intermediate InputsThe value added in the previous example totals only $300 (as opposed to $400 economic output). This is because value added subtracts the sale of the purchased wood (intermediate input) of $100 from the total sales price of $400, resulting in value added of $300.

It’s easy to imagine how this difference between economic output and value added can become really substantial when you consider the sale of a good that is composed of lots of pre-manufactured goods, for example a car that is an assemblage of tires, windshields, GPS systems, light bulbs, etc. If we were to mistakenly compare the economic output of one car manufacturer to the value added of another, we would be comparing apples to oranges and therefore have a wrong interpretation of the analysis.
 
Pitia kidogo hapa uhenda ukapa kitu kidogo kijana then uje tuingee kuhusu uchumi wao mkubwa na wetu mdogo

Hii nonsense unawajazia JF servers haya mavi ili iweje?

JF administration please delete this piece of crap!

Upumbavu mtupu!
 
Na mimi GDP nimesema sio output ni mavi?

Siwezi soma vyuo vya kata mzee,acha kufeli!

Nikupe Student Number yangu College of Engineering UDSM,Telecoms undergrad ukaangalie kama nilishapata chini ya A?

Postgrad nakupa address ni,Pasadena,CA 91125.

Wewe umezoea kupata C na D’s ni wewe sio mimi!
na huyo aliekupa

huyo aliekupa A wewe kwakweli akapimwe mkojo maana si kwa pumba unazotema humu kujifanya unajua uchumi alafu hamna kitu kichwani umeshikilia GDP ni output really?
 
Wewe unatangaza Imani sio uhalisia wa mambo, nani kakuongopea uwez kupata maendeleo bila ya democracy ? Usitutangazie Imani yako toa mifano , China ijawahi kua na democracy Nchi gani ulaya inayoifikia China? Na kwa nini iwe na maendeleo wakati haina democracy? Tukirud hapo Kenya hakuna democracy yeyote sema tu hisia zako zinavyokutuma , Laila odinga alishinda kwa nn hawajamtangaza wakavunja uchaguzi hiyo mahakama na kupanga uchaguzi mwengine baada ya kurudia kashinda uhuru wakamtangaza hiyo mahakama nzur ipo wapi na democracy? Au hufatilii mambo unaandika kwa chuki za kipinzani?, Maana upinzani mwaka huu ushapoteza radha wao kilakitu kupinga wafanyakaz hewa wamepinga, mchanga wa madini kusafirishwa wamepinga, ujenzi wa reli wamepinga, ujenzi wa umeme wamepinga kushughulikiwa sakata la Richmond wamepinga, kununua ndege wamepinga kuzungusha ukuta merelani wamepinga du kweli huu upinzani
Hayo si maendeleo

Maendeleo Bila Demokrasia sio maendeleo!

Ni slave camps!

Get that into your coconut!

Ndio maana nchi zote zilizowahi kua na dictatorship “maendeleo” unayotaja hapa yalimezwa na “revolutions”!

Revolutions ni equalizer ya upumbavu wote unaoita maendeleo ya kidikteta!

Fvck what you say maana ni useless!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na huyo aliekupa

huyo aliekupa A wewe kwakweli akapimwe mkojo maana si kwa pumba unazotema humu kujifanya unajua uchumi alafu hamna kitu kichwani umeshikilia GDP ni output really?

GDP ni output ndio,wewe ulitaka iwe input?

Get the F* outta here!
 
Wewe unatangaza Imani sio uhalisia wa mambo, nani kakuongopea uwez kupata maendeleo bila ya democracy ? Usitutangazie Imani yako toa mifano , China ijawahi kua na democracy Nchi gani ulaya inayoifikia China? Na kwa nini iwe na maendeleo wakati haina democracy? Tukirud hapo Kenya hakuna democracy yeyote sema tu hisia zako zinavyokutuma , Laila odinga alishinda kwa nn hawajamtangaza wakavunja uchaguzi hiyo mahakama na kupanga uchaguzi mwengine baada ya kurudia kashinda uhuru wakamtangaza hiyo mahakama nzur ipo wapi na democracy? Au hufatilii mambo unaandika kwa chuki za kipinzani?, Maana upinzani mwaka huu ushapoteza radha wao kilakitu kupinga wafanyakaz hewa wamepinga, mchanga wa madini kusafirishwa wamepinga, ujenzi wa reli wamepinga, ujenzi wa umeme wamepinga kushughulikiwa sakata la Richmond wamepinga, kununua ndege wamepinga kuzungusha ukuta merelani wamepinga du kweli huu upinzani

Sent using Jamii Forums mobile app

Lets get this outta way:

Sio “Laila Odinga” ni “Raila Odinga”!

Jifunze Kiswahili sahihi!

Na pia Jifunze kujenga paragraphy na kupangilia sentensi sio unarundika mikojo,mavi,kamasi,etc sehemu moja kama ulivyofanya!

Kila dikteta huku Africa anapenda kuitaja China kama mfano!

China ni concentration slave camp,sio nchi!

Maendeleo ni total well being nje na ndani ya mwili wa mwanadamu!

Huwezi kaaa hapa unaichukulia China kama mfano tunaotakiwa kuufata!

Lazima tuige proper free industrial democracies zilizo prove quality of life all the way through kama Western countries!

Usitetee mavi ya China hapa....unaiga human rights abuser,slave camps operators,tyrannical-autocratic regime ndio mfano sahihi wa kujenga nchi yako karne hii ya 21?

Kenya’s democracy ni more “vibrant” than Tanzania’s today!

Na alieua Tanzania’s democracy ni mawe,thats a FACT!

Uchaguzi wa Kenya kua na mapungufu sio ajabu,hata USA nako uchaguzi hua una contentions nyingi!

Ila sio hapa,state inaua watu wake wakosoaji,mkuu anavamia bunge,mahakama,anavunja katiba anavyotaka bila mtu kuuliza!

Hakuna democrasia 100%!

Kenya yao ni vibrant than ours,thats a FACT!
 
Back
Top Bottom