Kenya yaigeukia Ethiopia kujaza pengo la upungufu wa chakula lililoachwa wazi na Tanzania

Kenya yaigeukia Ethiopia kujaza pengo la upungufu wa chakula lililoachwa wazi na Tanzania

Asking for aid doesn't mean they are dying of hunger, it simply means they did not have enough harvest that can last up to the next harvest and that can happen anywhere, remember Ethiopia is located in North of equator and their weather is not the same with that of tanzania.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
So u think u can get enough grain to satisfy ur needs from a country that still ask for food aid!?

Meanwhile Galole bridge across Tana River on the Highway to Ethiopia has collapsed

#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
kikihboy nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 
TIME WILL TELL... WHO WILL SUFFER THE LOSS!? maybe kukatokea food triangle trade.. from TZ to UGANDA to KENYA.. japo sidhani!!.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana yake! maana Uganda nayo Museveni kasema watu wale 250g of posho!

MY TAKE
Inamaanisha hamna chakula cha kutosha! nafaka yetu ikienda Kenya kupitia Uganda ni sawa tu kwa vile at the end of the day the price won't be the same kama yangepitia horohoro/Namanga/Holili!
 
Bora sisi vitaoza vitunguu na nyanya vip nyie mkianza kuoza wakenya kwa njaa Kali itayo wapelekea kufa meno nje

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi Mtanzania

Umenipa Ukenya,thats cool too,wote Wabantu walewale!

Shida ni kwetu sisi tusiokua na GDP yenye mabavu kama wao!

Wao wana GDP yenye uzito,they can buy any food from anywhere!

Be serious!

Im holding my breath siku inatokea mvua imegoma kunyesha nchini kwa mwaka mmoja,what catastrophe will come out in TZ?

It will be a disaster my nigga!

Ishu hapa tujifunze kuzalisha na kufanya biashara na kuacha upumbavu na utoto huu
 
kama kenya haina utegemezi wowote kwa Ethiopian lakini anawafungia Anga na viroja kemkem

sasa wakianza kuwategemea Ethiopia si watanyanganywa aridhi Ethiopian army [emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lilipo ni kwamba huwezi kumuambia mtu aone ukweli huo! Ethiopia ni rival wa Kenya tena with sinister motives! Mara nyingi jirani hupenda kujitamba juu ya Ethiopia na kibaya zaidi Ethiopia hawana chakula cha kutosha.

Hii Ethiopia yenye njaa ambao wanachi wake wanapitishwa kwenye malori Tunduma wakienda SA? kweli sasa wamechanganyikiwa.
Watapitisha wapi?, labda wabebe gunia za mahindi kwa ndege za KQ

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao Ethiopia wenye njaa,nzige Chakula kitauzwa WFP kipelekwe Somalia.

After this month Tanzania itakuwa na chakula mingi sana. After one year the most richest country on east Africa it will be Tanzania. Watauzia Zambia, kenya and Ethiopia chakula.
 
Mimi Mtanzania

Umenipa Ukenya,thats cool too,wote Wabantu walewale!

Shida ni kwetu sisi tusiokua na GDP yenye mabavu kama wao!

Wao wana GDP yenye uzito,they can buy any food from anywhere!

Be serious!

Im holding my breath siku inatokea mvua imegoma kunyesha nchini kwa mwaka mmoja,what catastrophe will come out in TZ?

It will be a disaster my nigga!

Ishu hapa tujifunze kuzalisha na kufanya biashara na kuacha upumbavu na utoto huu
Deni la Kenya ni 67% ya pato la taifa kwa mujibu wa IMF.
Alafu bado unaongelea ukubwa wa GDP kwa hali kama hiyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi Mtanzania

Umenipa Ukenya,thats cool too,wote Wabantu walewale!

Shida ni kwetu sisi tusiokua na GDP yenye mabavu kama wao!

Wao wana GDP yenye uzito,they can buy any food from anywhere!

Be serious!

Im holding my breath siku inatokea mvua imegoma kunyesha nchini kwa mwaka mmoja,what catastrophe will come out in TZ?

It will be a disaster my nigga!

Ishu hapa tujifunze kuzalisha na kufanya biashara na kuacha upumbavu na utoto huu
Wakenya mnawaonaga wa maana sana yani,kenya na tz hakuna tofauti kubwa kiivo.kikubwa tuheshimiane kama nchi,wakileta upumbavu tunawafanyia ufala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom